UVCCM udom waahidiwa kupewa ubunge


S

samubagula

Member
Joined
Jun 24, 2013
Messages
90
Likes
0
Points
0
Age
33
S

samubagula

Member
Joined Jun 24, 2013
90 0 0
Habar wanajf,

Jana usiku viongozi wa UVCCM walikuwa na kikao na ajenda yao ni kwamba eti kila mtu achague jimbo ili aweze kugombea!

My take; why vijana tunadanganyika kiasi hiki vijana tujitambua hamna kitu hapa zaidi yakutaka kutumiwa tu!
 
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,504
Likes
224
Points
160
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,504 224 160
Habar wanajf jana ucku viongoz wa uvccm walikuwa na kikao na ajenda yao ni kwamba eti kila mtu achague jimbo ili aweze kugombea! My take why vijana tunadanganyika kiasi hiki vijana tujitambua hamna kitu hapa zaidi yakutaka kutumiwa tu!
Weka taarifa yako vizuri ndugu. haijitoshelezi ati...!
 
AdvocateFi

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Messages
11,155
Likes
1,176
Points
280
AdvocateFi

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2012
11,155 1,176 280
Mkuu usishangae sana kwani hizo ndo akili za vijana wa chama chakafu, akili zao wamerithi toka kwa wazee wao wakina Kapuya na Wasira.
 
OLESAIDIMU

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Messages
19,176
Likes
219
Points
160
OLESAIDIMU

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2011
19,176 219 160
Vijana wote takribani katika kila chama hizo ndio ndoto zao!!!!!!
Wanatofautiana mavazi na jinsi ya kupenda madaraka tu!!!!!!
 
Lunyungu

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Messages
8,842
Likes
98
Points
145
Lunyungu

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2006
8,842 98 145
CCM bwana .Vijana hata Chadema kuna maisha zaidi ya siasa .Support Chadema ila uwe na maisha yako zaidi ya kutegemea Chama .Mkiweza hayo basi mtapunguza idadi ya watu kama Chitanda , Mageti sita na walio choka kama wao .Wanataka tembelea Nyota za wenzao maisha si hivyo .
 

Forum statistics

Threads 1,249,419
Members 480,661
Posts 29,697,630