Nibozali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 572
- 1,055
Ni muda sasa umepita tangu nijiunge na chama cha mapinduzi na hatimaye kujiunga na kikundi cha uvccm. Tokea wakati huo hadi sasa huyu anayejiita Shaka amekuwa akishikiria nafasi ya ukatibu Wa uvccm kwa mgongo Wa kukaimu.
Hivi MTU anakaimuje nafasi hiyo kwa muda wote huo? Kwa nini zisifanyike taratibu za kumpata katibu halali na kuachana na huyu katibu uchwara?
Ni matumaini yangu kuwa ujumbe wangu umefika na viongozi husika wataufanyia kazi.
Nawasilisha karibuni kwa mjadala