Labda wakisafirisha watu kwa maloli ndo watafanikiwa
Labda wakisafirisha watu kwa maloli ndo watafanikiwa
Mnajihami nini wakati mmekuwa mkitamba hapa kuwa Arusha ni ngome yenu? Subirini muone.
Kweli wewe ni msalani kusiko na maji
Ngome yenu wenyewe halafu.mnakuwa na wasiwasi tena?
Gari ya matangazo inapita kutangaza mkutano wa ccm kesho ijumaa Mianzini ccm Arusha imeanza kuonekana sasa nawatakia kila la kheri
Mola awajalie mkutano wenye kheri