UVCCM tena kesho Arusha Mianzini

Mkya

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
667
94
Gari ya matangazo inapita kutangaza mkutano wa ccm kesho ijumaa Mianzini ccm Arusha imeanza kuonekana sasa nawatakia kila la kheri

Mola awajalie mkutano wenye kheri
 
Mungu awajaalie kukosa muda wa kwenda kuwasikiliza wasije wakajisifu kuwa wanaungwa mkono. wakiingia kwenye anga zenu ki-Mabina style najua mnajua cha kufanya.
 
Ule waliotangaza wiki iliyopita haukufanyika, sasa wanatangaza mwingine!?
Hakuna ccm Arusha!!
 
Hakuna ccm arusha wanatafuta uchokozi mkutano utakuwa wa ukoo tu ccm arusha mjini wapi lini mnachekesha na hako kamunisi kazi yake kutukana tu ndyo hoja ya ccm
 
chama chakavu arusha wanapoteza muda labda waende wahuni wa ngulelo
 
roho inawauma eee??? hata wewe unaweza ukafanya ya kwako, ccm ni taasisi inaweza kufanya chochote almradi wanafuata sheria na taratibu za nchi,
 
Ngome yenu wenyewe halafu.mnakuwa na wasiwasi tena?

naona munaenda kufanyia kazi ule mkakati wa olmedeye wa kuwafukuza wachagga na makabila mengine hapo arusha,japo hilo litakuwa gumu kidogo kwani wamaasai na waarusha wameshashtukia mbinu hizo chafu.
hapa ole medeye akimwaga sumu ya ukabila bila haya
 
Gari ya matangazo inapita kutangaza mkutano wa ccm kesho ijumaa Mianzini ccm Arusha imeanza kuonekana sasa nawatakia kila la kheri

Mola awajalie mkutano wenye kheri

Hilo eneo lina msongamano wa wajasiriamali sana. Mwisho wa siku wataweka picha za hao wajasiriamali kisha waseme ni umati!
 
Jamani kama kuna mtu ana taarifa yeyote kwamba ccm watagawa vibahasha, I am in.

Ni mwendo wa kula ccm, kura cdm.
 
Back
Top Bottom