UVCCM Taifa: Kuchangia damu majeruhi wa ajali ya moto ya Morogoro

SautiYaMnyonge

JF-Expert Member
May 13, 2018
439
742
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi unawahamasisha wanachama wake na vijana wazalendo wote kujitokeza kushiriki zoezi la "KUCHANGIA DAMU KWA AJILI YA KUSAIDIA KUOKOA MAISHA YA MAJERUHI WA AJALI YA GARI LA MAFUTA ILIYOTOKEA TAREHE 10/8/2019 MSAMVU MKOANI MOROGORO."

Tarehe: 13/8/2019

Muda: Kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 12 jioni.

Eneo: Hospital ya Taifa ya Muhimbili.

Wote mnakaribishwa.

Kwa ushiriki na mawasiliano zaidi piga simu namba

0784916592/0715916592/0625676152
IMG-20190812-WA0035.jpeg
 
Big up UV-CCM kwa hili jambo maana ni jambo ambalo kila muungwana lazima atakubali kuwa linastahili sifa
 
BAVICHA changia Ute ute 😂😂😂😂😂😂😂😂😂


Just joking
Bavicha waliwahi kufurumushwa walipo taka kuchangia damu, kwamba wasilete siasa kwenye afya za watu. Ngoja tuone wana Lumumba itakuwaje.
 
Back
Top Bottom