uvccm Tabora vipande vipande

MFALME JUHA

Member
May 5, 2008
13
1
chama cha mapinduzi mkoa wa tabora kikiwa kinajiandaa kulikomboa jimbo la igunga leo hii kamati ya utekelezaji uvccm mkoa wa tabora kimemsimamisha uongozi katibu wa chipukizi na uhamasishaji uvccm mkoa wa tabora bwana Daniel kazi Muhina hadi pale baraza kuu mkoa litakapoitishwa
aidha taarifa kutoka chanzo cha ndani cha uhakika kinaeleza kuwa kusimamishwa kwa bwana muhina kunahusishwa kwa kiasi kikubwa na makundi ya kisiasa yaliyopo mkoani tabora ambapo inaaminika kuwa bwana muhina alikuwa mfuasi mwaminifu wa mzee nkumba mrengo tofauti wengine ambao ulikuwa na mrengo wa upande wa pli yaani ya wakasuvi na samuel sita.
taarifa zaidi zina dai kuwa bwana muhina ambaye anaushawishi mkubwa wa kisiasa hasa za vijana kunapelekea vijana wengi kuzidi kukichukia chama cha mapinduzi
vyanzo vingine visivyo na uhakika vinadai kuwa kusimamishwa huko kumeshinikizwa na mkiti wa ccm mkoa tabora ambaye bwana muhina hakumuunga mkono wakati wa uchaguzi wa ccm wa 2007 na kibaya zaidi bwana alikuwa kampeni meneja wa ndugu Hussen Bashe ambaye ni mfuasi wa Rostam Aziz hivyo kupelekea hali ya kisiasa kuzidi kuwa tete
 
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Masaburi type. Unadhani wana jipya? Wanajiita vijana kumbe ful vijeba mfano Malisa plus Riz? Masaburi yao wacha wazikane muda umefika
 
Kifo cha pazi furaha ya kunguru
chadeeeeemaaaaaaaaaaa juuuuuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom