VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,136
- 17,871
Tarehe 23 mwezi huu,Wajumbe wa Mkutano wa Taifa wa CCM tutakutana hapa Dodoma kwa mkutano wetu mkuu. Agenda kuu ya mkutano ni 'uchaguzi' wa Mwenyekiti wa Taifa wa chama chetu. Maandalizi,ikiwa ni pamoja na ulinzi,yanaendelea vyema.
Kutokana na uzito na umuhimu wa mkutano huo na wahudhuriaji wake,Dodoma hakutahitajika fyokofyoko. Wenye serikali karibu wote watakuwa hapa. Nyinyi UVCCM na BAVICHA mnaotambiana kuja kupambana hapa,chungeni sana. Mtashughulikiwa! Endeleeni na maigizo yenu lakini msithubutu hata kujaribu kufanya kweli.
Fyokofyoko zitadhibitiwa kwa kuchukiwa. Mkutano huo wa CCM,hatahivyo,utafungua njia na nia kwa mikutano mingine ya wengine kuwadia!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (maandalizini Dodoma)