UVCCM mwendo wa kuchapana kama CUF enzi hizo... Sasa ni Mara

nimeona kamanda ccm kwishaaaaaaa, rushwa huko ndo imezaliwa

Hali hii inatishia wananchi kuendelea kukosa imani na ccm,msajili wa vyama vya siasa hapa hayupo ndio maana hasemi kitu,subiri chama chochote cha upinzani wafanye fojo utasikia mamneno yake.Wakati wa ccm kutawala jamani umekwisha wananchi tulione hilo.
 
Tena tabia ya matayo kupanga safu ya viongozi ndugu zake au kabila lake ndio uliokuwa mwanzo wa anguko la ccm musoma mjini! Kwa sasa bila aibu kaibuka tena subiri anguko la ccm wilya hizo husika 2015.
 
Kwani mshindi wa UNEC Musoma mjini ni Mathayo au Daudi Missango?
 
Katika kundeleza ule utamaduni wao wa ukabila, udini, rushwa na uchakachuaji, umoja wa vijana mkoa wa Mara wameshindwa kufanya uchaguzi wao watakaowaongoza kwa kipindi kingine cha miaka mitano baada ya kuibuka vurugu kubwa zilizzopelekea kupotea kwa hali ya amani katika ukumbi wa mikutano baada ya vijana hao kuamua kuonyeshana ubabe kwa kutwangana na viti.

Vurugu hizo zilijiri baada ya baadhi ya vijana kabila la wajita kuwatuhumu viongozi wa ccm waliosimamia uchaguzi huo kuyachakachua majina yao muda mfupi kabla ya uchaguzi na kuacha majina ya vijana wa kabila la wakurya.

Vijana hao wamedai kwamba mchezo huo wa kuwabagua na kuwatenga vijana wa kijita umekuwa ukifanyika kila mara lakini safari hii wamesema kwamba hawatokubali kufumbia macho mchezo huo wa siasa za kikabila, rushwa na kuchakachuana, hivyo wakaamua kutoa kipigo kwa wanachama wa upande wa pili ili kuvuruiga mkutano huo ili kuhakikisha kwamba uchaguzi haufanyiki hadi majina ya vijana wenzao wa kabila lao la kijita yarejeshwe.

MY TAKE:
Chama cha mapinduzi kimekuwa mstari wa mbele kueneza propaganda za udini, ukabila dhidi ya vyama vya upinzani lakini kwa tukio hili la uchaguzi wa vijana mkoa wa Mara imedhihirika kwa mara nyingine tena kwamba ccm ndiye baba na mama wa ukabila na udini.

Source ITV.

Nakala; chama, Ritz, zomba, Tume ya Katiba, MAMA POROJO, +255, Kata nyodo, njiwa, almasiomary and all other lumumba staffs.

Maranya,
vipi Shy Rose Bhanji kumbe ni wa kwenu? kwani naona alikuwa anagombea kutoka kwenu.
 
Wana HIV+Cancer .Sasa wamefikia kupa AIDS.magonjwa nyemelezi ni mengi sana kiasi daktari hawezi jua anatibu ugonjwa au dalili au pengine uchovu tuu wa hichi chama.
 
Wakurya wamejipanga mno wakiongozwa na Vedastus matao tajiri aliekuwa mbunge wa musoma vijijiji na kwa sasa ni MNEC Musoma mjini na anataumia hela yae kuopnga safu VIONGI WA MARA WENGI WAO WAKIWA WAKURYA!

PESA YA MATAYO YA MAFUTA NA IKISAIDIA NA MZEE ............. ITALETA KIAMA CHA CCM KUANGUKA MKOA MZIMA, HASA WAJITA WAMEONEWA SASA TENA WASHINDI WANTAMBA KUWA NI RAHISI KUMUNUA MJITA!!!
Mkuu, ndugu zangu wajita hawaaminiki sana. Mkono amekuwa akiwahonga huko majita na kila uchaguzi kupita bila mpinzani. Hili unalielezeaje? Aren't they too cheap?
 
Udini na ukabila siku zote unaenezwa na chama tawala kama njia ya kujilinda kuondolewa madarakani. Lakini mwisho wake huishia pabaya sana. So CCM wanatakiwa waliangalie kwa umakini sana hili.
 
kwa hali niliyoiona kwenye ITV inasikitisha sana kama kweli ccm mmefikia hapo basi tusitegemee kama kweli ccm inaelekea kuzuri bali inaelekea kufa na kwa style hii wanaaibisha taifa viti vimegeuka kuwa fimbo kazi kweli kweli. tusubiri maana ndugu zangu nawaelewa huwa hawashindwi inaweza tokea fujo kubwa zaidi ya hii tuliyoiona subiri Mra wajipange
 
Udini na ukabila siku zote unaenezwa na chama tawala kama njia ya kujilinda kuondolewa madarakani. Lakini mwisho wake huishia pabaya sana. So CCM wanatakiwa waliangalie kwa umakini sana hili.

watu wanaweza nicriticise na pengine niombea bani ila ukweli kwamba kuna mtandao wa waislam mkubwa tuu unaofanya kazi ndani ya CCM ,CUF na vyama vingine ikiwepo CDM ili kulifanya hili taifa la kiislam.Wakristu na dini nyingine katk hivi vyama huwa wanpuuza haya mambo kwa vile na waislama nao hujibanza katk mambo ya yasiyo ya dini na mara wanapokosewa basi hawakosi useful idiot wa kuwatetea kuwa hao si waislma ni wahuni tuu.Watu wanaweza pata shida kuelewa ila CDM nao hawapo huru sana na siasa za hizi movement.Ndio maana wanashinikizwa sana ili waingie katk mchakato wakidhani kuwa wanaleta usawa wa kidini.Wasilam hawahitaji chama, wala nchi wao wanahitaji shariah tuu na dunia kuwa ya kiislam.

Hawatahitaji kama kuna muungano au hakuna,wanatetea muungano katika mambo yanayosupport njia zao.Kesho unaweza sikia JK akisema muungano unaweza jadiliwa uvunjike.
 
tatizo lako kubwa unatumia kichwa kufugia nywele tuu.na pia unamtumia meya wa jiji la dsm mh masaburi katika kufikiri kwako, hicho kitu ni hatari sana.
 
watu wanaweza nicriticise na pengine niombea bani ila ukweli kwamba kuna mtandao wa waislam mkubwa tuu unaofanya kazi ndani ya CCM ,CUF na vyama vingine ikiwepo CDM ili kulifanya hili taifa la kiislam.Wakristu na dini nyingine katk hivi vyama huwa wanpuuza haya mambo kwa vile na waislama nao hujibanza katk mambo ya yasiyo ya dini na mara wanapokosewa basi hawakosi useful idiot wa kuwatetea kuwa hao si waislma ni wahuni tuu.Watu wanaweza pata shida kuelewa ila CDM nao hawapo huru sana na siasa za hizi movement.Ndio maana wanashinikizwa sana ili waingie katk mchakato wakidhani kuwa wanaleta usawa wa kidini.Wasilam hawahitaji chama, wala nchi wao wanahitaji shariah tuu na dunia kuwa ya kiislam.

Hawatahitaji kama kuna muungano au hakuna,wanatetea muungano katika mambo yanayosupport njia zao.Kesho unaweza sikia JK akisema muungano unaweza jadiliwa uvunjike.

kichaa sio lazima uokote makopo, hii ni hatua ya mwanzo kabisa ya ukichaa baada ya hii,kinachofuata ni kuvua nguo barabarani.
 
Misango mwenyekiti Musoma mjini. Alimpiga chini mkurya Isack Ng'ariba kwa kuwa tu Isack alikataa kuwa kibaraka wa Mathayo.

Matayo na vituo vyake vya mafuta ni TATIZO MARA!! ATAIZIKA CCM MWAKA 2015 KAMA WANA CCM HAWATAMSHUTIA YUKO TAYARI HATA KUUA!

MKITAKA KUJUA UBAYA WAKE NENDENI MARA NOW KATIKA CHAGUZI ZINAZOENDELEA! ELIMU YAKE NI NDOGO TU ANASOMEA DEGREE YA bbA oPEN uNIVERSITY LAKINI ANA TAIZO LA KUPENDA MIVUTANO NA ULIMBUKENI WA FEDHA ZKE ZA KUCHAKACHUIA MAFUTA!
 
Udini na ukabila siku zote unaenezwa na chama tawala kama njia ya kujilinda kuondolewa madarakani. Lakini mwisho wake huishia pabaya sana. So CCM wanatakiwa waliangalie kwa umakini sana hili.

unaweza kutusaidia kwa nn mbowe alimzaba kibao mwangalizi wa kiislam ktk uchaguzi mkuu jimbo la hai mwaka 2010?
 
Back
Top Bottom