UVCCM: Monduli tunashinda mapema tu

MASIGA

Senior Member
Aug 29, 2015
130
281
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi umesema kutokana na kampeni za kisasa za kumuombea kura mgombea wa CCM katika Jimbo la Monduli Ndugu Julius Kalanga zilivyofanyika wanayo matumaini makubwa ya kushinda.

Wazungumzaji wa Chama chetu na mgombea wetu katika mikutano yote wamenadi sera, wameelezea mafanikio ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM, rekodi ya utendaji wa CCM katika jimbo la Monduli na uchapakazi wa Mhe Rais Dkt John Pombe Magufuli. Hii iliwavuta wananchi wengi sana.

Siasa za kistaarabu tulizozifanya ziliwavutia vijana na wananchi wa rika zote hivyo leo tunataraji ushindi wa kimbunga....!

Timu ya UVCCM inawajumuisha Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa Ndugu Tabia Maulid Mwita, MNEC Ndugu Musa Mwakitinya, Mwenyekiti UVCCM Mkoa wa Arusha na Mjumbe wa Kamati ya utekelezaji UVCCM Taifa Ndugu Saitoti Zelothe, Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa na Mjumbe wa Kamati ya utekelezaji UVCCM Taifa Ndugu Joanfaith Kataraia, Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa Kutoka Mkoa wa Arusha Ndugu Lulu Mwacha, Mhe Mariam Ditopile Mbunge Viti maalum kupitia UVCCM na Mhe Gudluck Mlinga Mbunge wa jimbo la Ulanga Mashariki.

#MzeeKustaafishwaSiasaZaMonduli
IMG-20180916-WA0038.jpg
IMG-20180916-WA0035.jpg
IMG-20180916-WA0036.jpg
IMG_20180915_190634.jpg
 
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi umesema kutokana na kampeni za kisasa za kumuombea kura mgombea wa CCM katika Jimbo la Monduli Ndugu Julius Kalanga zilivyofanyika wanayo matumaini makubwa ya kushinda.

Wazungumzaji wa Chama chetu na mgombea wetu katika mikutano yote wamenadi sera, wameelezea mafanikio ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM, rekodi ya utendaji wa CCM katika jimbo la Monduli na uchapakazi wa Mhe Rais Dkt John Pombe Magufuli. Hii iliwavuta wananchi wengi sana.

Siasa za kistaarabu tulizozifanya ziliwavutia vijana na wananchi wa rika zote hivyo leo tunataraji ushindi wa kimbunga....!

Timu ya UVCCM inawajumuisha Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa Ndugu Tabia Maulid Mwita, MNEC Ndugu Musa Mwakitinya, Mwenyekiti UVCCM Mkoa wa Arusha na Mjumbe wa Kamati ya utekelezaji UVCCM Taifa Ndugu Saitoti Zelothe, Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa na Mjumbe wa Kamati ya utekelezaji UVCCM Taifa Ndugu Joanfaith Kataraia, Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa Kutoka Mkoa wa Arusha Ndugu Lulu Mwacha, Mhe Mariam Ditopile Mbunge Viti maalum kupitia UVCCM na Mhe Gudluck Mlinga Mbunge wa jimbo la Ulanga Mashariki.

#MzeeKustaafishwaSiasaZaMonduli View attachment 867706View attachment 867707View attachment 867708View attachment 867709
CCM, CCM, CCM, CCM

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Tuondolee habar za kishamba, sisi tuna hasira ya kutoka sare na ndanda pale Nangwanda Sijaona
 
Mnahaki ya kusema mnashinda mapema kama wasimamizi ambao ni makada wanakataa kuwaapisha mawakala wa vyama vya upinzani
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom