Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Kama ilivyo kawaida yao UVCCM hawapitwi Na jambo bila kulisemea.Nilitegemea UVCCM kuiunga mkono Serikali yao katika vita vya kugushi vyeti" VYETI FEKI" wangejitokeza kulisemea hili la Mkuu wa Mkoa wa DSM Mh.Paulo Makonda la kutumia cheti cha MTU mwingine.UVCCM wamekuwa kimya kama vile hawapo .Tunawaomba UVCCM wajitokeze hadharani .