UVCCM kukutana na waandishi wa habari mchana huu

TandaleOne

JF-Expert Member
Sep 4, 2010
1,644
709
Uongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wanakutana na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali hapa nchini katika ukumbi wa NEC mjini Dodoma.

Lengo la Press hiyo ni kufikisha "ujumbe maalum" unaoelezea na kufafanua matukio na hali ya siasa hapa nchini.

[HASHTAG]#hapa kazi tu![/HASHTAG]

Stay Tuned..!!!
 
Ni Chama tawala hiki ndio mana kinaruhusiwa kufanya siasa. Bavicha na wenyewe wafanye vikao watujuze wanayojadili na kutuambia watanzania
 
hii taasisi imeshapoteza sifa tofauti na sisi vijana wa taasisi hiyo hezi za Mwalimu.
 
6e011d5b60c742cae682ca21d99d0316.jpg
huu ufisadi uliishia wapi?
 
hao vijana au wazee maana kikwete mwenyewe alisema chama kinakimbiwa na vijana wasomi waliopo na waliomaliza vyuo vikuu.sasa hao vijana wa chama tawala wametoka wapi????
 
Muombeni Nchimbi msamaha ama dhibitisheni kuwa amefisadi huo umoja wenu wa wezi na mumpeleke mahakamani.
 
Back
Top Bottom