UVCCM kuchangia mil 7 matibabu ya Lissu bila kamera,nimeamini kuna utu baada ya siasa.

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,477
20,377
Kitendo kilichofanywa na Umoja wa vijana CCM kupitia ndugu Shaka na Jokate kuwakilisha mchango wa milioni 7 kugharamia matibabu ya Lissu,tena bila uwepo wa kamera kumeonesha kukua kwa siasa nchini na uvumiliano wa hali ya juu.
Hizi ndio aina za siasa zinazohitajika nchini,kuna maisha baada ya watu wasiojulikana,nchi ni yetu sote kwanini tugombee fito.
Mungu ibariki Tanzania.
 
Kama ni kwel hakuna kupokea hela za kinafiki
 
Kitendo kilichofanywa na Umoja wa vijana CCM kupitia ndugu Shaka na Jokate kuwakilisha mchango wa milioni 7 kugharamia matibabu ya Lissu,tena bila uwepo wa kamera kumeonesha kukua kwa siasa nchini na uvumiliano wa hali ya juu.
Hizi ndio aina za siasa zinazohitajika nchini,kuna maisha baada ya watu wasiojulikana,nchi ni yetu sote kwanini tugombee fito.
Mungu ibariki Tanzania.
Hongereni sana nami mmenivutia sana kwa hili hongereni sana tena sana kuna wafuasi wengi wa chadema wamefurahishwa sana na hii hali.mnaelekea pazuri siasa si chuki na kuna maisha baada ya siasa,hongereni viongozi wa vijana kwa hili mnastahili pongezi
 
Kitendo kilichofanywa na Umoja wa vijana CCM kupitia ndugu Shaka na Jokate kuwakilisha mchango wa milioni 7 kugharamia matibabu ya Lissu,tena bila uwepo wa kamera kumeonesha kukua kwa siasa nchini na uvumiliano wa hali ya juu.
Hizi ndio aina za siasa zinazohitajika nchini,kuna maisha baada ya watu wasiojulikana,nchi ni yetu sote kwanini tugombee fito.
Mungu ibariki Tanzania.

Wanamuogoa Baba yao akiwaona wanatoa pesa wakati yeye amekataa pesa zisitoke na hata ule mchango wake tu
 
Kitendo kilichofanywa na Umoja wa vijana CCM kupitia ndugu Shaka na Jokate kuwakilisha mchango wa milioni 7 kugharamia matibabu ya Lissu,tena bila uwepo wa kamera kumeonesha kukua kwa siasa nchini na uvumiliano wa hali ya juu.
Hizi ndio aina za siasa zinazohitajika nchini,kuna maisha baada ya watu wasiojulikana,nchi ni yetu sote kwanini tugombee fito.
Mungu ibariki Tanzania.
Tunajua mbaya wetu kawapa ili kutekeleza unafiki wake.Wakizipeleka zirudishwe kwa Shehe Salum Uhald kama sadaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitendo kilichofanywa na Umoja wa vijana CCM kupitia ndugu Shaka na Jokate kuwakilisha mchango wa milioni 7 kugharamia matibabu ya Lissu,tena bila uwepo wa kamera kumeonesha kukua kwa siasa nchini na uvumiliano wa hali ya juu.
Hizi ndio aina za siasa zinazohitajika nchini,kuna maisha baada ya watu wasiojulikana,nchi ni yetu sote kwanini tugombee fito.
Mungu ibariki Tanzania.
UCHURO....la sivyo atatumbuliwa mtu... Mwenekigoda hapendi mjue nyie

Jr
 
Watakuwa walikuwa wanachanga huku wanachekacheka na kujisikia aibu sana. Siyo kila anayelia kwa sauti kuu na kugalagala msibani ni mwema na ana utungu sana. Wengine huwa ni wachawi wanalilia mumzike haraka marehemu wakamtafune nyama kaburini.
 
Back
Top Bottom