UVCCM inaongozwa na wazee? Viongozi wao wote wana miaka zaidi ya 30 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UVCCM inaongozwa na wazee? Viongozi wao wote wana miaka zaidi ya 30

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by AMARIDONG, Apr 3, 2011.

 1. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  UMRI WA UVCCM NI CHINI YA MIAKA 30?BENO MALISA AMEZALIWA MWAKA 1977 MPAKA LEO ANA MIAKA MINGAPI NA MBONA BADO NI MJUMBE WA UVCCM??NAFIKIRI KUNA SHIDA HAPO,JUMUIA HII YA VIJANA INAONGOZWA NA WAZEE NDIO MAANA WANABISHANA NA KINA SUMAYE,LOWASA NA SITTA KWANI NI WAZEE WENZAO

  wazee kwa wazee
   
 2. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2011
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  wakuu said ntimizi, tapeli mkubwa yule kazaliwa mwaka 74 eti nae chaeman wa uvccm dar.. kha! Kudadedi zake aloo
   
 3. c

  cesc Senior Member

  #3
  Apr 3, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mhhh....yangu macho tu
   
 4. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Kama unawalamba miguu mafisadi utaongoza UVCCM hadi ufikishe miaka 40 kama Nchimbi. Si waliweka bayana kuwa nao sasa wanataka kula hadi wavimbiwe kama Sumaye
   
 5. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  mbna na nchimbi nae alikua m/kiti wa chama af bado alikua anaonekana mzee..............hebu watu watujuze labda msaafu wa cham umebadilika
   
 6. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  wahuni wamelaaniwa ni umoja wa vichaa wa ccm
   
 7. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #7
  Apr 3, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  UMOJA WA VICHAA,NIMEIPENDA HIYO;;TUNAWEZA KUWALAUMU ETI KWA NINI VIJANA WANABISHANA NA BABA ZAO KUMBE WANABISHANA NA WAZEE WENZAO KINA SITTA NA SUMAYE

  wezee kwa wazee
   
 8. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #8
  Apr 3, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Oh yeah Shyrose Bhanji ana Miaka 43 bado yuko UVCCM shame on all gready people ambao wanajali matumbo yao
  Alisomeshwa Uingereza kwa pesa za Ismailia Aga Khan sasa anajiita Mwanaharakati; Damn they know how to use us Tanzanian's
   
Loading...