Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 3,281
- 2,423
Wasalaam, ni siku sasa nchi nzima imeshuhudia mpango kabambe unaoendelea kutengenezwa na wakuu wa TAMISEMI ili kula pesa za umma asa kupitia posho.
Kwakua nchi hii ipo chini ya Serikali ya CCM ni muda muafaka na sahii kabisa vijana wa UVCCM kupinga na kuzuia hii rushwa,ufisadi na wizi wa pesa za mlipa kodi. Pesa hizi zinapangwa kupigwa kwa kupitia uchaguzi wa serikali za mitaa.
Huku kila mtu akijua kua CCM imepita bila kupigwa nchi nzima.Kanuni zipo wazi,pale inapotokea hakuna wagombea zaidi ya mmoja kugombea nafasi ya mwenyekiti wa kijiji,kitongoji na mtaa basi huyo ambae ameteuliwa utangazwa mshindi.
Sasa inakuaje TAMISEMI wanataka kuhitisha uchaguzi huku wakijua CCM tumepita bila kupigwa nchi nzima. Huu ni ufisadi na watu wako tayari kupiga hizi pesa kama posho nk.
Vijana wote Wazalendo wa UVCCM ni muda sasa wa kupata sauti kupinga ili...pesa hizo zielekezwe kwenye ununuzi wa madawa au vitabu kwa mashule na zahanati zilizopo chini ya TAMISEMI.
UVCCM TUSIMAME IMARA
UVCCM TUPINGE NA KUKATAA HUU UFISADI
UVCCM TUMSAIDIE MH.MAGUFULI
CCM TUMEPITA BILA KUPINGWA SASA UCHAGUZI NIWA NINI.