UVCCM Arusha watoa pole kwa CHADEMA (unafiki mkuu)

King Suleiman

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
496
327
salaam kwenu wana JF,
nimesoma gazet la Mtanzania alhamisi, eti Uvccm Arusha (unaweza kuwaita viwavi jeshi wa ccm ukipenda) eti wametoa pole kwa Chadema kwa msiba uliookea tar 5/1/11, chaajabu hakuna pole zozote zaidi ya majungu na upupu ulomo ndani ya taarifa yao ua polee.

Hakika nimetambua mnafiki hajifichi, ni hawahawa viwavi jeshi wa ccm walipanga kufanya sherehe haramu ya kumpongeza meya mchakachaji w Arusha alyeleta utata, wakaacha dk za mwisho baada ya kuona watakosa watu mana attention kubwa ipo kwenye msiba wa kitaifa wa MASHUJAA WA DEMOCRASIA.

my take,
uvccm ( viwavi jeshi wa ccm) wamekuwa wepesi sana kukurupuka na kutoa matamko yasio na mshiko kila kukicha kuwapa suport wazee wao hata kama wamefanya utumbo kama huu wa Arusha. nawaonya vijana hasa wewe ridhi 1 na wenzako acheni huo upupu mnajichafukia CV.

source ,MTANZANIA alhamisi 13/1/11. pg 5
 
hakika vijana wanahitaji kuwa chachu ya mabadiliko, lakini hawa uvccm siku zote ni ma rigid, nadhani wamepewa sumu na wazee wao?
 
Wameua makusudi sasa wanaomba msamaha kiaina.
Sasa hivi naye Mkuu wa operesheni maalum anaanza kutishia CHADEMA.
Hajui kuwa anaongeza chuki kwa wazalendo wa nchi hii.
 
Back
Top Bottom