UVCCM Arusha wafunga mjadala wa Ole Millya - Tuhuma dhidi yake ni ya Upotoshaji

naanza kupata picha kuwa Lowassa anafahamu kitu juu ya

Millya kujiunga CDM kuna kitu kinaendelea, swali ni je

CDM watakubali kula sahani moja na FISADI PAPA ORIJINO?
wewe tuliza mshono,hivi cdm unaifahamu au unaisikia tu,aisee jamaa wako organized vibaya mno,yaani lowassa ni mdudu mdogo sana kwa hivi vichwa,hujaona arumeru alivyopigishwa sarakasi akiwa amevaa taulo.ondoa shaka ya lowassa kabisa.
 
Mi nasema ccm kutamu nyie eeeeeeeeeeeee
habari zaidi chaja ikiisha ama muda ukiisha soma mwananchi leo uk wa mbele
uvccm yamsafsha millya..

Wakati kaka yetu rizi kikwetw alidiriki kuweka maneno ya kkumtishia na kumkashfu
mh mallya kwa kuondoka na million 2 na nusu za uvccm ..na kutishia kuwaambia wanaomjua millya wamwambie sheria inakuja asubiri kisa na kakampuni chake uchwara cha sheria

katibu mku wa uvccm abdallah mpokwa amesema tuhuma zilizotolewa na watu mabli mbali kuhusu mwenyekiti wake wa zamani ni zaa uongo na uzushi na azitakiwi kusikkika mbele ya jamii
katibu huyo ameenda mbali kwa kuoma wale wanaopiga kelele ya kumtuhumu na awana uhakika na kilichopo ama kinachoendelea arusha naomba wakome na wakae kimya

katika hilo aliwataja baadhi ya wajumbe waliorropka mbele ya media na kusema awastahili hata kidogokuwa wasemaji wa wa uvccm arusha na kusema ameshangaa hata baadhi ya watu wanadiriki kujaza manenno ya kshfa kuhusu mallya kwenye mitandao yao bila kujua kinachoendeleea hii ni kujizalilisha

akaomba wenye shida ya kujua lolote la uvccm aje kwake na kusema tangu aingie na mpaka ameondoka hana rekodi ya deni lolote la mallya na anaamini ni msafi na ameondoka kwa utashi wake na watu wamwache

shame rizi shame wajumbe wote waropokaji shame mkome wote mnaokimbilia basi kwa mbele

Pancha zimezidi CCM.WHAT NEXT?
 
wewe tuliza mshono,hivi cdm unaifahamu au unaisikia tu,aisee jamaa wako organized vibaya mno,yaani lowassa ni mdudu mdogo sana kwa hivi vichwa,hujaona arumeru alivyopigishwa sarakasi akiwa amevaa taulo.ondoa shaka ya lowassa kabisa.
Kwa maneno mengine Lowassa mbele ya CHADEMA ni sawa na Simba wa kwenye maonyesho ya Sabasaba
 
Pamoja na uyo rafiki yake kumtetea,hii ishu ya kutoroka na fedha kubwa kiasi hicho imeishammaliza kisiasa bwana Millya.pole yake!

ofisi yake imesema millya hajachukua hata senti maji sasa iyo issue imemmaliza vp??
Mimi naona hii issue inawamaliza uvccm wenyewe kwa kukurupukia maswala yasiyowahusu hususani Gambo na Riz1.
 
mimi nauliza ?kilaanaeondoka ccm huondokanakitita namawaziri wanaotakiwawajiuzulu itakuaje?
AH;SANTE.
 
naanza kupata picha kuwa Lowassa anafahamu kitu juu ya

Millya kujiunga CDM kuna kitu kinaendelea, swali ni je

CDM watakubali kula sahani moja na FISADI PAPA ORIJINO?

Nimepita kwenye hizo ofc za uvccm mkoa asubuhi, nikakuta wanayatoa mabango.

Ila nilibahatika kulisoma mojawapo linasomeka, "Edward Lowassa nenda CHADEMA hatukutaki unatuharibia chama chetu, mfuate Millya huko uliomtanguliza. Hatutaki mafisadi kwenye chama chetu"

Mengine ckuweza kuyasoma sababu tayari walikuwa wamekwisha yabandua ukutani.

Pia nilipenda kupata picha zake! Lkn ikawa ngumu kwa jinsi walivyokuwa na hasira hao magamba waliokuwepo.
 
Hii inaonyesha jinsi gani watu kama kina Ridhiwani Kikwete wanavyokurupuka kuongea pumba. Ovyooo!

Na bado watakurupuka sana. Wanaanza kukataana wenyewe wala sisi hatujasema kitu au Millya hajasema kitu.

Mara mawaziri wakataane, mara UVCCM wakataane. Sisi tupo kimya tu tunawasubiri na tumeshaandaa majembe na sululu kuchimba KABURI LA KUIZIKA CCM KABLA YA 2015.

View attachment 52649

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Jinamizi la kuhama kwa aliyekuwa mwenyekiti wa uvccm,mkoa wa Arusha James ole millya kwenda chadema, limezidi kuutafuna umoja wa vijana mkoani Arusha, ambapo sasa limechua sura mpya baada ya wanachama wa umoja huo jana usiku kufunga ofisi ya katibu wao.

Abdala mpokwa na kubandika mabango ya kumtaka ajiudhulu nafasi hiyo, baada ya kutoa tamkoa la kumsafisha Millya.
 
Uvccm mkoa wa Arusha wafunga Ofisi ya vijana mkoani hapo kushinikiza katibu wa uvccm mkoani hapo aondolewe pamoja na vibaraka wote wa fisadi Edward Lowasa. vijana hao wamechukizwa na kitendo cha abdallah Mpokwa ambaye ni katibu wa vijana mkoani hapo kutumika na fisadi Edward Lowasa. Edward Lowasa kuputia mtoto wake Fred Lowasa walituma pesa Arusha kupitia Julius Kalanga, Ally Bananga na Kadogoo ambayo ni vijana wa monduli ili kumtetea Millya aliyehamia Chadema. Inasemekana Lowasa kamtanguliza Millya chadema ili akapime joto Kabla ya Lowasa mwenyewe kwenda.

Vijana hao wamejiandaa kumpopoa mawe Fisadi Lowasa akionekana Arusha mjini na Arumeru. Wamemuasa Lowasa akome kuwayumbisha vijana kutokana na pesa zake za kifisadi za Richmond.

hao vijana ni wa FISADI RIZIWAN
 
KIPANYA.jpg
 
Aishieni huko huko na mafisadi yenu. Mpopoane mawe au mpigane risasi mtajua wenyewe. Mzimu wa Millya utawatesa sana.

Msiihusishe Chadema na Lowassa. Ikiwa mmekosa mwelekeo basi mkafie mbele.
 
Lakini yeye alikuwana lengo la kufunga mjadala wa Milya, ili waanze kukijenga chama. Inakuwaje tena??
 
Back
Top Bottom