UVCCM Arusha inakukaribisha sherehe ya kumpongeza Meya tar 5/1/11

Albert Msando

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
1,019
171
UVCCM Arusha kesho wameandaa sherehe ya kumpongeza 'Meya' kwa kuchaguliwa kwake. Sishangai kwa 'vijana taifa la kesho' kufanya sherehe ya kumpongeza Meya wakati tuna msiba kwa sababu hayo ndio waliyojifunza na matunda ya CCM!!

Kuna mahali mtu unafika unaamua kumuachia Mungu kwa sababu ukifikiria sana unaweza kutenda dhambi kutokana na hasira na kichefuchefu unachokipata kwa kufikiria jambo fulani. Utashi uliotumika kuandaa sherehe hiyo wanaujua waandaji. Inawezekana waliandaa kabla ya mauaji ya raia lakini bado walikuwa na uwezo wa kuahirisha na kujumuika na waombolezaji wengine hata kama wasipokuja NMC! Kama wanadhani raia wale walijitakia kifo basi Mungu awahukumu marehemu hao, ila kama marehemu wetu wamekufa kutokana na kuchoshwa na dhuluma, uonevu, manyanyaso na ukandamizaji wa viongozi basi Mungu awahukumu UVCCM! Mungu wetu ni Mungu wa HAKI na atatuhukumu wote kwa HAKI!

Nawatakia UVCCM Arusha sherehe njema kesho, wale, wanywe na kufurahi pamoja na nafsi zao. Sisi wengine tunaendelea kuomboleza na tutashiriki kuwasindikiza wananchi wenzetu katika pumziko lao la milele! Amen.
 
Nadhani kumpongeza wao kama CCM wana haki hiyo kwa kuwa ni Meya kwa chama chao

Swala la kufanya siku ambayo wengine wako kwenye maombolezo haya ni matusi. Je hata kama mlipanga hapo awali, je ni kweli haiwezekani kupanga wakati mwingine? au ndio counter-strategy? Na hata kwenye mambo ya msingi kama hili? Je angekuwa ni mmoja wapo wa ndugu zenu ingekuwaje? Na vipi wana-CCM ambao hawa ni vijana na ndugu zao, je watawaelewa?

Nilikuwa NADHANI CCM wanamatusi kwa wananchi na dharau iliyopitiliza ila sasa nimeacha kudhani na sasa NINAAMINI.
 
Inawezekana kwani hawa CCM ni kama wanyama na wameshaua watanzania wengi sana kwa kuiba rasilimali zao na kuwaacha wakifa kwa umaskini. Wanachofanya tu wameona siyo vema kuendelea kuwa invisible murderers kwani ni bora watokeze hadharani kama na kule jeshi la marekani mashoga walipoamua kuweka mambo hadharani.

Nani asiyejua kinacholimaliza taifa ni CCM na wamekuwa wakifanya sherehe za namna hiii mara nyingi. Tunaomba Mungu awazukie siku hiyo aonyeshe kuchukizwa kwake na uhuni wanao ufanya.

Pia WATANGAZE MWALIKO HUO PALE NMC KESHO ILI VIJANA WAKITOKA KUZIKA WAJIUNGE NAO KATIKA HIYO TAFRIJA . WAWEKE TU MAMBO HADHARANI KESHO MAPEMA
 
mkuu maelezo yako ktk alama nyekundu kama itatekelezeka hivyo, tutakuwa tuna msiba mwingine mkubwa kwa kati yao.

Kesho 5/1/2011? Kama ni kesho bila shaka watatumia uwanja wa NMC. Vipi, itakuwaje Chitanda akianza kurandaranda pale stand Arusha baada ya Dua pale NMC? Vijana watafanya nini??
 
Mungu wetu ni MUNGU wa haki. Na hutoa hukumu zake kwa haki. Kwa kuwa wamewauwa ndugu zetu na bado wanapanga kushereheka ilihali siri tukiomboleza, basi tumwachie MUNGU ahukumu. Nami nakuhakikishia iko LAANA inawaka juu yao.
 
nashindwa namna ya kushangaa,
kama ni kweli wameandaa sherehe y kumpongza Meya mchakachuaji nitaelewa miongoni mwao kuna watu wana upungufu wa akili kichwani maana haiingii akilini watu wnaomboleza wewe unamshabikia muuaji ( mana huyo meya wao fake ndio chanzo).

hivi hawa wanatumia akili kufikiri au wanatumia akili za watoto zao? najua wamefanya makusufi kunulfy msiba wa mashujaa kesho. sasa nitapima utashi wa viongozi wao wa kitaifa kama kweli watawakubalia kuandaa huo upuuzi, utashangaa makamba na Mary Chatanda wageni rasmi, maana hawa akili zao zinafanana.
 
Mungu wetu ni MUNGU wa haki. Na hutoa hukumu zake kwa haki. Kwa kuwa wamewauwa ndugu zetu na bado wanapanga kushereheka ilihali siri tukiomboleza, basi tumwachie MUNGU ahukumu. Nami nakuhakikishia iko LAANA inawaka juu yao.

Nafasi yangu ya kuchaguliwa inanizuia kuwa mtabiri. Ila kama Mary Chitanda atatokea NMC haitakuwa salama kwake! Juzi nilishuhudia dogo mmoja akilia kwa kumuangalia Mawazo (diwani wa CCM aliyefanya kosa kuja uwanjani). Kama sio Dr. Slaa alikuwa atie adabu pale. Sasa kwa Mary ndio itakuwa shida
 
Jamani wadau hii habari haina chanzo hakuna aliyenukuliwa.
Huko Arusha tupeni updates za program ya mazishi
 
Back
Top Bottom