Uvamizi wa CUF Arusha waikatisha ziara ya CHADEMA kusini

[h=6]Wapambanaji wa Ukweli Chama cha wananchi CUF kwa wiki kadhaa kimekuwepo Mkoani Arusha ktk operesheni maalum ya kuzindua Matawi na kupokea wanachama wapya ktk Mkoa huo maarufu kwa watalii.

Ktk operesheni hiyo cuf ilifungua
ZAIDI YA MATAWI 40 na kupokea wanachama Zaidi ya 500, (300 ktk ufunguz wa matawi), (200 ktk mikutano ya hadhara).

Hali hiyo imepelekea Chadema kukatisha Ghafla ziara yake ktk mikoa ya Kusini baada ya kuona nyumba yake inaungua.


Wananchi wengi wa Mkoani Arusha wamepata Muamko Mkubwa baada ya kuckiliza Sera za CuF na wengi kuamua kukiunga mkono huku Wakitulaumu kwann hatufanyi ziara mara kwa mara ktk Mkoa wao.

Tumewaahidi watu wa Arusha kuwa Daima cha Cha wanamchi CUF kitakuwa pamoja nao ktk Kuwapigania ktk kuleta Haki Sawa Kwa Wote na Maendeleo watakayoyaona.

KATIKA HATUA NYINGINE CHADEMA KIMEKATALIWA NA WANANCHI WA NANYUMBU MKOANI MTWARA NA KILWA MASOKO KUFANYA MKUTANO WA HADHARA BAADA YA WANANCHI HAO KUKILAUMU CHAMA HICHO KUKUMBATIA UDINI NA UKABIL
[/h]



Huwa inafanyaga mikutano yake wapi hapa A town?
Matazamo wangu wa haraka haraka naona mleta thread atajuwa anatumika na mafisadi lakini kawaambie humu jf watu hawadanganyiki.
 
huyo mke mdogo wa ccm ndo anapiga mayowe unafikiri ataweza kupambana na peoples power? Yeye akapike jikoni asubiri bwana'ke arudi huko anakosulubiwa na Chadema bila huruma

Umenena mkuu! Huyu mke wa magamba ameishiwa kabisa, sasa abaki kumpikia bwana'ake madikodiko!
 
sasa unamlilia nani...hamtaonewa huruma hata mkiomboleza?

chadema jamani kinawagombanisha wapendanao ccm na cuf sasa hivi ndoa chungu bi mdogo ameona heri amsaidie mumewe angalau na yeye alete nyumbani fedha za kujikimu kwa kufungua matawi hewa yenye wanachama hewa. Ebu tuwekeeni picha za uzinduzi tuone na sisi.
 
Nanyumbu gani Unayozungumzia? Umechanganyikiwa? Mimi nipo Nanyumbu Mangaka, Katika Wilaya zote za Mtwara Nanyumbu ilikuwa funga kazi. Acha kuweweseka, Nanyumbu hatudanganyiki na Magamba na Makuwadi wao. Ukitaka kuthibitisha hilo Njoo baada ya juma moja.
 
Nanyumbu gani Unayozungumzia? Umechanganyikiwa? Mimi nipo Nanyumbu Mangaka, Katika Wilaya zote za Mtwara Nanyumbu ilikuwa funga kazi. Acha kuweweseka, Nanyumbu hatudanganyiki na Magamba na Makuwadi wao. Ukitaka kuthibitisha hilo Njoo baada ya juma moja.

Achana na huyu, yuko Mombasa, hajui kinachoendelea.
 
kaka ni kweli kabisa ila kaa ukihua kuwa CDM wao ndio waanzilishi wa kila shutuma na kuhakikisha CUF inapotea kabisa, kwanza tuliwaacha kwa muda mrefu sana sasa tumerudi kupambana inaonekana hawajui kazi ya chama chao tunataka kuoneshana misuli kwa hoja na si propaganda. sisi tumewalea nadhani wanakumbuka sana waulize akina bob makani leo wanaleta za kuleta hasa mapropaganda zao, TUNAUWEZO WA KUPAMBANA NA CDM pia CCM kwa wakati mmoja subiri tuone.watalooz maana wao na CCM ndio wanaendana kila kitu.SUBIRI TUWAONESHE.


OK JITIENI MOYO............ NYIE HAMUIJUI VIZURI A. town jaribuni muone moto wake .............. mwenzenu na ndugu yenu nape Kipindi cha kuvua magamba alifika moshi alivyopokelewa tu akahairisha safari ya kuja arusha akaifuta gafla bila kujali gharama za maandalizi walizokuwa wamefanya
 
CHADEMA Mnawanyima sana usingizi Wana Ndoa (CCM & CUF), Jinsi wanavyoigwaya CHADEMA wala haijifichi, Yani CCM (Mume wa CUF) akisimama hawezi kuacha kutaja CHADEMA, Mamaa (CUF) akisimama nae vivyo hivyo....Kaaazi kwelikweli

Hivi ndoa ya CUF na CCM ni ya jinsia moja au?
 
jamani me niko arusha tena katikati ya mji sijawahi kusikia,kuona,mkutano wa cuf wala waliojiunga acheni propaganda za UONGO hapa!
 
kama unabisha safari yao ni leo wamefunga mikutano yote huko tandahimba, nanuymbu na kusini kwa ujumla,waulize leo wapo wapi?? watakueleza tu.kuhusu arusha habari ndio hio mkuuuu VISION FOR CHANNGE.VUA GAMBA USIVAE GWANDA VAA DHAMIRA YA HAKI SAWA KWA WOTEEE.
Kwani hiyo mikutano huko kusini ilikuwa ya milele? Ratiba yake unaijua??
Anzeni kwanza kujenga misikiti mingi Arusha kama ilivyo mwambao wa pwani hadi kusini, ndio muingie Arusha labda kidogo wanaweza kuwaelewa kwamba mnajuhudi za kueneza dini, sio siasa aisee,,
 
Nilikua napita tu,nimeona hiki kinyesi cha ccm B natema kwanza ntarudi baadae kukimwagia majivu!
 
kaka ni kweli kabisa ila kaa ukihua kuwa CDM wao ndio waanzilishi wa kila shutuma na kuhakikisha CUF inapotea kabisa, kwanza tuliwaacha kwa muda mrefu sana sasa tumerudi kupambana inaonekana hawajui kazi ya chama chao tunataka kuoneshana misuli kwa hoja na si propaganda. sisi tumewalea nadhani wanakumbuka sana waulize akina bob makani leo wanaleta za kuleta hasa mapropaganda zao, TUNAUWEZO WA KUPAMBANA NA CDM pia CCM kwa wakati mmoja subiri tuone.watalooz maana wao na CCM ndio wanaendana kila kitu.SUBIRI TUWAONESHE.


Kwa kutumia Uamsho na mikutano ya misikitini mtaweza! Na mtaweza hivyo Pemba tu maana hata Unguja cdm ilishawashinda! Aibu gani hii mnakosa ubunifu hata wa kujitangaza mnaiga!!! Yaani utafikiri ni Ze Comedy ya TBC na Futuhi ya Star TV. CUF wafuasi wenu wapo Manzese bana!
 
kwa kutumia uamsho na mikutano ya misikitini mtaweza! Na mtaweza hivyo pemba tu maana hata unguja cdm ilishawashinda! Aibu gani hii mnakosa ubunifu hata wa kujitangaza mnaiga!!! Yaani utafikiri ni ze comedy ya tbc na futuhi ya star tv. Cuf wafuasi wenu wapo manzese bana!

cuf wamejifia wenyewe kimya kimya. Cdm inazidi kuchanja mbuga wewe endeleza uongo wako wa bure bure kwani sasa hivi watuwamefunguka! "uwe jasiri na mwenye moyo wa uhodari,maana wewe ndiye utakeyewavusha watu wangu kutoka utumwani misri" watu wangu wanaangamia kwa kukosa ufahamu
 
Ccm b tayari imeungana rasmi na ccm,hivyo hao ndio ccm b. Yule sabodo atolei pesa gizani,hoja zenu zilikwisha miaka mingi ndio maana hata wewe unaonekana hufahamu chochote
 
Back
Top Bottom