Uvaaji wa nguo za mtumba ni umasikini uliopitiliza

Habari JF

Hii pia haina ubishi, uvaaji wa nguo za mtumba hapa Tanzania ni indicator ya masikini wa kiwango cha juu

Haiwezekani mtu mwenye pesa kushindwa kununua nguo mpya ambayo haijavaliwa na mtu yoyoyte

Inakuaje mtu unapesa ukanunue nguo aliyovaa mtu kaacha mijasho yake humo, kama ndio underwear mabaki yake humo ni aibu mimi kuyasema hapa

Uvaaji nguo za mtumba ni umasikini uliopitiliza
Vipi kuhusu viatu
 
Sio kila mtumba imevaliwa, mfano mzuri huku nilipo kuna season 4 kwa mwaka. Unaweza ukanunua nguo au viatu na husizivae mpaka zinapitwa na style, hivyo inafika mahali zimejaa huna pakuweka inabidi uzitoe upate nafasi. Sisi juzi tuu tumetoa masanduki mawili makubwa ya nguo na 90% ni mpya hazijavaliwa.
 
kwanza kuvaa hayo manguo ya dukani kwa kijana wa mjin huo n ushamba ukivaa mtumba ndo unaonekana mjanja
 
mkuu pambana na umasikini wako
.
Screenshot_20210721-175432.jpg
 
Back
Top Bottom