Uvaaji wa Mabinti wa Kileo na Raha ya Kuoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uvaaji wa Mabinti wa Kileo na Raha ya Kuoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bazazi, Jul 27, 2009.

 1. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2009
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,026
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  Bazazi ana hoja kidogo.

  Kwa watu wazima kidogo (si chini 40 yrs), wanadai siku hizi hakuna raha ya kuoa, kwasababu uvaaji wa mabinti wa kileo umepoteza heshima na ladha ya mwanamke. Nyamaume hao wanadai, zamani ukifanikiwa kuona chupi ya mwanamke sharti dhakari iinuke, lakini siku hizi kuona si chupi tu bali hata shanga ni jambo la kawaida. Zamani kuona umbo halisi ilikuwa ni lazima aidha umchungulie akioga au akivaa ilhali siku hizi barabarani wote wamevaa nguo za kubana. Pia ilikuwa ni lazima ufanye kazi ya ziada kuliona tumbo na matiti ya binti ilhali siku hizi mambo hadharani.

  Walalamikaji walizidi kuongeza kuwa zamani kumtongaza binti ilikuwa ni kazi ngumu ambapo siku hizi unamuita na kuondoka nae siku hiyohiyo.

  Madhara ya hali hiyo ni kuwa huna haja ya kuoa ilhali kila kitu unaweza kukipata kwa urahisi kwani too much of something is marvellous.

  Mimi kama mimi nakubaliana nao kwakuwa too much of something tends to saturate your sensory nerves.
   
 2. S

  Salehe Ndanda Member

  #2
  Jul 27, 2009
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nasema hizi ni kama LAANA, kwa sababu baadhi yao wamezidi kujidharirisha haibu tupu.Kwa TZ waliowaastarabu it is very terrible, tamaduni zote tumezitupa hadi za kuvaa NGUO, bad imitate
  perhaps the end of WORLD.
  MBONENYAI.
   
 3. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hakika kuvaa nguo za ajabu ajabu kwa akina mama ni kujidhalilisha wenyewe na kujishushia hadhi
   
 4. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2009
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu kuna mambo nakubaliana na wewe uliyosema hapo juu ,pia kuna maelezo nitapenda kuyaeleza ili wengi tufaidike ,ilikuwa siku za nyuma kijana wa kiume ukiona paja tu la msichana akili inakuwa siyako na hali inakubadilika, leo vijana hilo halipo tena ,waulizeni ndugu zetu wanao ishi nchi za ulaya na marekani hasara yakuona sehemu adimu za msichana, wazungu tunaowaona na kuwaiga wamesha athirika kiasi fulani mvulana wa kizungu inamchukuwa kazi ya ziada kufikia ili shuhuli ya baba na mama, inamfanya msichana wake afanye kazi ya nyogeza nafikiri mnanielewa namainisha nini ?(nilazima aongee na Mic )ndugu zetu wengi wanaoishi ulaya na marekani ukiwauliza watakueleza hayo,unapoishi nchi hizo ni kitu cha kawaida kuona utupu wa mwanmke kila siku na kila kona , ikiwa kwenye magazeti video na katika miji, inafikia wakati KIBABU anapoteza fahamu zake inakubidi upapase kuangalia kama bado yupo nawe ,hayo ni miongoni ya hasara yakuona maubile ya msichana 24/7 hisia za kiume zinapotea kwa haraka, ndio unakuta wengine mpaka apate pombe ndio mshituko unatokea. hebu tuwe wakweli mpaka kufikia mwanzo mwa 1990 hapa TZ ukiona chupi ya msichana unachanganyikia leo wapi ?pia kutongoza kuna raha zake imekwisha ile watu leo mnachukuwana kama maguruguru hakuna maneno ya mahaba wala yale mambo ya kumtizi mwezio.ni wanaume ndio watakao athirika zaidi katika jamii sio kina dada .
   
Loading...