Uvaaji wa hijab kwa wanafunzi wa sekondari Tanzania

Status
Not open for further replies.

Manselly

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
456
130
Habari wana jamii,

Najua kabisa kwa hiyo tittle ya huu uzi wengi watakua wamekuja wakizani labda nipo hapa kukashifu au kusema dini za watu. Lengo ni kusema nionavyo mm so nifatilie kwa makini kabla hujachangia.

Ushauri wangu ni kuwa kila shule ina vazi rasmi (sare) za shule na huu ni utaratibu wa dunia nzima kuwa lazma wanafunzi wafanane.

Ukweli ni kwamba shule zetu kwa sasa hasa za sekondari hazina uniform kabisa manake nusu wanavaa hijab na wengine hawajavaa.

Madhara yake ni kuwa kuna spirit ya udini inaanza kutembea polepole mashuleni manake mara nyingi unakuta wenye hijab wanakua pamoja muda wote mpaka kwenye kujisomea na hawa wasio na hijab nao wanakua kimpango wao hii inaweza athiri taaluma.

Mbaya zaidi wanajitenga kwa imani zao yani ukiingia darasani tu tayar unajua muislam ni yule na yule kitu ambacho kina athiri ufundishaji.

Jamani wanafunzi wakiwa kwenye mfumo mmoja wa kuvaa wanapendeza sn na mavazi yanayowatambulisha imani zao wavae wakiwa nje ya ratiba za shule.

Naelewa kuwa zamani sera ya elimu ilikua inakataza haya mambo na wanafunzi wote walikua wanavaa sare baadae akaja waziri flani ndo akaingiza hizi mambo.

Jamani mbona jeshini wote wananyoa sawa na wanavaa sare zinazofanana manake jeshi na polisi halina waislam? Yani Mh Said Mwema aingie ofisini na kibandiko kisa tu ni imani ake ataeleweka?

Jaman sihamasishi udini ila naeleza umuhimu wa kuwa na sare za aina moja tu wawapo darasani.
 
Ambao hawajaelewa mtazamo wako utaona watakavo kujibu na hapo ndo utakapo jua wapo pande zipi katika ku comment kwao. I hope we are GREAT THINKERS......

naelewa yani wakiona hiyo tittle tu watakuja wanahema balaa wakati mi naeleza kitu halisi na cha kitaalam. Imagin unaingia darasani wanafunzi nusu wamevaa hijab nusu hawajavaa where is uniformity hapo
 
Mkuu hiyo ni kweli kabisa ila kwa sasa naona tumeshachelewa fulani hivi
 
Habari wana jamii.
Najua kabisa kwa hiyo tittle ya huu uzi wengi watakua wamekuja wakizani labda nipo hapa kukashifu au kusema dini za watu. Lengo ni kusema nionavyo mm so nifatilie kwa makini kabla hujachangia.
Ushauri wangu ni kuwa kila shule ina vazi rasmi (sare) za shule na huu ni utaratibu wa dunia nzima kuwa lazma wanafunzi wafanane.
Ukweli ni kwamba shule zetu kwa sasa hasa za sekondari hazina uniform kabisa manake nusu wanavaa hijab na wengine hawajavaa.
Madhara yake ni kuwa kuna spirit ya udini inaanza kutembea polepole mashuleni manake mara nyingi unakuta wenye hijab wanakua pamoja muda wote mpaka kwenye kujisomea na hawa wasio na hijab nao wanakua kimpango wao hii inaweza athiri taaluma.
Mbaya zaidi wanajitenga kwa imani zao yani ukiingia darasani tu tayar unajua muislam ni yule na yule kitu ambacho kina athiri ufundishaji.
Jamani wanafunzi wakiwa kwenye mfumo mmoja wa kuvaa wanapendeza sn na mavazi yanayowatambulisha imani zao wavae wakiwa nje ya ratiba za shule.
Naelewa kuwa zamani sera ya elimu ilikua inakataza haya mambo na wanafunzi wote walikua wanavaa sare baadae akaja waziri flani ndo akaingiza hizi mambo.
Jamani mbona jeshini wote wananyoa sawa na wanavaa sare zinazofanana manake jeshi na polisi halina waislam? Yani Mh Said Mwema aingie ofcn na kibandiko kisa tu ni imani ake ataeleweka? Jaman sihamasishi udini ila naeleza umuhimu wa kuwa na sare za aina moja tu wawapo darasani

Aliekwambia dunia nzima wanafunzi wanavaa yunifomu nani umetembea nchi ngapi mpaka kufikia conclusion hyo,mana humu jf tupo tunaoishi nje ya tanzania na nchi kibao hawavai hizo sare sasa sjui huo usawa ni upi unaoutaka wewe.na ujue tu kuwa binadamu hawawezi wakafanana hata dunia nzima tukivaa uniform.na kama ingekuwa kuvaa sare ndio kunafaulisha na kuendeleza elimu bas wamarekani wangekuwa mambumbumbu
 
hiyo ni kweli make ninekuwa hapa ktk shule ya kiufundi(Arusha school of technical) wale waliovaa vitambaa vichwani wanatembea kama ka group Fulani hivi.wanajitenga sana,dini ya kiislam inafundisha watu kujitenga.
 
Habari wana jamii.
Najua kabisa kwa hiyo tittle ya huu uzi wengi watakua wamekuja wakizani labda nipo hapa kukashifu au kusema dini za watu. Lengo ni kusema nionavyo mm so nifatilie kwa makini kabla hujachangia.
Ushauri wangu ni kuwa kila shule ina vazi rasmi (sare) za shule na huu ni utaratibu wa dunia nzima kuwa lazma wanafunzi wafanane.
Ukweli ni kwamba shule zetu kwa sasa hasa za sekondari hazina uniform kabisa manake nusu wanavaa hijab na wengine hawajavaa.
Madhara yake ni kuwa kuna spirit ya udini inaanza kutembea polepole mashuleni manake mara nyingi unakuta wenye hijab wanakua pamoja muda wote mpaka kwenye kujisomea na hawa wasio na hijab nao wanakua kimpango wao hii inaweza athiri taaluma.
Mbaya zaidi wanajitenga kwa imani zao yani ukiingia darasani tu tayar unajua muislam ni yule na yule kitu ambacho kina athiri ufundishaji.
Jamani wanafunzi wakiwa kwenye mfumo mmoja wa kuvaa wanapendeza sn na mavazi yanayowatambulisha imani zao wavae wakiwa nje ya ratiba za shule.
Naelewa kuwa zamani sera ya elimu ilikua inakataza haya mambo na wanafunzi wote walikua wanavaa sare baadae akaja waziri flani ndo akaingiza hizi mambo.
Jamani mbona jeshini wote wananyoa sawa na wanavaa sare zinazofanana manake jeshi na polisi halina waislam? Yani Mh Said Mwema aingie ofcn na kibandiko kisa tu ni imani ake ataeleweka? Jaman sihamasishi udini ila naeleza umuhimu wa kuwa na sare za aina moja tu wawapo darasani
Lazima ujuwe mavazi wanavaa wasichana wakristo ndio mavazi ya dini yao,inavyoruhusu,kichwa wazi,kishati cha kubana,na sketi fupi,na ndio mavazi wanayokwenda nayo kanisani,nina uhakika asilimia mia moja ukivaa hijabu na nguo ndefu,kanisani hutaruhusiwa kuingia.Na vilevile msikitini mwanamke akiwa kichwa wazi,kishati cha kubana,na nguo fupi,haruhusiwi kuingia.
 
Habari wana jamii.
Najua kabisa kwa hiyo tittle ya huu uzi wengi watakua wamekuja wakizani labda nipo hapa kukashifu au kusema dini za watu. Lengo ni kusema nionavyo mm so nifatilie kwa makini kabla hujachangia.
Ushauri wangu ni kuwa kila shule ina vazi rasmi (sare) za shule na huu ni utaratibu wa dunia nzima kuwa lazma wanafunzi wafanane.
Ukweli ni kwamba shule zetu kwa sasa hasa za sekondari hazina uniform kabisa manake nusu wanavaa hijab na wengine hawajavaa.
Madhara yake ni kuwa kuna spirit ya udini inaanza kutembea polepole mashuleni manake mara nyingi unakuta wenye hijab wanakua pamoja muda wote mpaka kwenye kujisomea na hawa wasio na hijab nao wanakua kimpango wao hii inaweza athiri taaluma.
Mbaya zaidi wanajitenga kwa imani zao yani ukiingia darasani tu tayar unajua muislam ni yule na yule kitu ambacho kina athiri ufundishaji.
Jamani wanafunzi wakiwa kwenye mfumo mmoja wa kuvaa wanapendeza sn na mavazi yanayowatambulisha imani zao wavae wakiwa nje ya ratiba za shule.
Naelewa kuwa zamani sera ya elimu ilikua inakataza haya mambo na wanafunzi wote walikua wanavaa sare baadae akaja waziri flani ndo akaingiza hizi mambo.
Jamani mbona jeshini wote wananyoa sawa na wanavaa sare zinazofanana manake jeshi na polisi halina waislam? Yani Mh Said Mwema aingie ofcn na kibandiko kisa tu ni imani ake ataeleweka? Jaman sihamasishi udini ila naeleza umuhimu wa kuwa na sare za aina moja tu wawapo darasani

Ni bora skuli zote Tanzania wavae hijab, itakua uniform nzuri sana na watapendeza!

Au wewe unaonaje?
 
Hii ni changamoto pia kwa walimu na walezi wa shule hizo kwani psychologically yaeza mfanya mwalim akajikuta anafanya kitu kwa sababu ya muonekano wa mtu, imagine mwl anaeamini kuwa hijabu ni lazima kwa mtoto wa kike na ndivyo alivyojengwa ndani yake, mara anakutana na binti darasani ambaye si mvaaji wa hilo vazi, kajitengeneza kuanzia uniforrm mpaka nywele wadhani anajiskiaje kama si kichefuchefu. Na ktk hali hii huyu mwanafunz atapata msaada wa kitaaluma ipasavo toka kwa huyu mwl wake!!!!? hakika ni hakuna zaidi itakuwa chuki isiyo na maelezo
 
Aliekwambia dunia nzima wanafunzi wanavaa yunifomu nani umetembea nchi ngapi mpaka kufikia conclusion hyo,mana humu jf tupo tunaoishi nje ya tanzania na nchi kibao hawavai hizo sare sasa sjui huo usawa ni upi unaoutaka wewe.na ujue tu kuwa binadamu hawawezi wakafanana hata dunia nzima tukivaa uniform.na kama ingekuwa kuvaa sare ndio kunafaulisha na kuendeleza elimu bas wamarekani wangekuwa mambumbumbu

Umepaniki bro tunaongelea Tanzania.
 
Andiko la BIBLIA linasema

“Hali kadhalika nawataka wanawake wawe wanyofu na wenye busara kuhusu mavazi yao; wavae sawasawa na si kwa urembo wa mitindo ya kusuka nywele, kujipamba kwa dhahabu, lulu au mavazi ya ghar, bali kwa matendo mema kama iwapasavyo wanawake wamchao Mungu. Wanawake wanapaswa kukaa kimya na kuwa wanyenyekevu wakati wa kujifunza” (1 Timetheo 2: 9-11).

Wagalatia wanaambiwa HIO mitindo ya kusuka ni HARAMU.

Wavae hijabu au WANYOE NYWELE
 
Naunga mkono hoja...mimi nilikuwa skul flan iv yana utaona wenye hijab wote wako pamoja..kusoma, kula michezoni..yan niwabaguzi na wadini kupitiliza
 
Habari wana jamii.
Najua kabisa kwa hiyo tittle ya huu uzi wengi watakua wamekuja wakizani labda nipo hapa kukashifu au kusema dini za watu. Lengo ni kusema nionavyo mm so nifatilie kwa makini kabla hujachangia.
Ushauri wangu ni kuwa kila shule ina vazi rasmi (sare) za shule na huu ni utaratibu wa dunia nzima kuwa lazma wanafunzi wafanane.
Ukweli ni kwamba shule zetu kwa sasa hasa za sekondari hazina uniform kabisa manake nusu wanavaa hijab na wengine hawajavaa.
Madhara yake ni kuwa kuna spirit ya udini inaanza kutembea polepole mashuleni manake mara nyingi unakuta wenye hijab wanakua pamoja muda wote mpaka kwenye kujisomea na hawa wasio na hijab nao wanakua kimpango wao hii inaweza athiri taaluma.
Mbaya zaidi wanajitenga kwa imani zao yani ukiingia darasani tu tayar unajua muislam ni yule na yule kitu ambacho kina athiri ufundishaji.
Jamani wanafunzi wakiwa kwenye mfumo mmoja wa kuvaa wanapendeza sn na mavazi yanayowatambulisha imani zao wavae wakiwa nje ya ratiba za shule.
Naelewa kuwa zamani sera ya elimu ilikua inakataza haya mambo na wanafunzi wote walikua wanavaa sare baadae akaja waziri flani ndo akaingiza hizi mambo.
Jamani mbona jeshini wote wananyoa sawa na wanavaa sare zinazofanana manake jeshi na polisi halina waislam? Yani Mh Said Mwema aingie ofcn na kibandiko kisa tu ni imani ake ataeleweka? Jaman sihamasishi udini ila naeleza umuhimu wa kuwa na sare za aina moja tu wawapo darasani

La'ana tu Allah alaika.
 
Mtoa mada ni lazima ufahamu kwamba concept ya DINI katika UISLAM ni tofauti na jinsi ufikiriavyo.
In ISLAM, religion is just a total way of life, kuanzia ninapoamka mpaka kulala.
Mfano, binafsi najihisi fakhari sana ku-act ISLAMICALLY kuanzia mavazi n.k, kwa hiyo hapa automatically nitatofautiana na the rest, sasa itakuwa hatia kwangu mimi kuwa exceptional???na ikumbukwe kuwa hata hizi katiba zetu zinaruhusu uhuru wa kuabudu. Sasa tatizo liko wapi kimantiki?
 
Habari wana jamii.
Najua kabisa kwa hiyo tittle ya huu uzi wengi watakua wamekuja wakizani labda nipo hapa kukashifu au kusema dini za watu. Lengo ni kusema nionavyo mm so nifatilie kwa makini kabla hujachangia.
Ushauri wangu ni kuwa kila shule ina vazi rasmi (sare) za shule na huu ni utaratibu wa dunia nzima kuwa lazma wanafunzi wafanane.
Ukweli ni kwamba shule zetu kwa sasa hasa za sekondari hazina uniform kabisa manake nusu wanavaa hijab na wengine hawajavaa.
Madhara yake ni kuwa kuna spirit ya udini inaanza kutembea polepole mashuleni manake mara nyingi unakuta wenye hijab wanakua pamoja muda wote mpaka kwenye kujisomea na hawa wasio na hijab nao wanakua kimpango wao hii inaweza athiri taaluma.
Mbaya zaidi wanajitenga kwa imani zao yani ukiingia darasani tu tayar unajua muislam ni yule na yule kitu ambacho kina athiri ufundishaji.
Jamani wanafunzi wakiwa kwenye mfumo mmoja wa kuvaa wanapendeza sn na mavazi yanayowatambulisha imani zao wavae wakiwa nje ya ratiba za shule.
Naelewa kuwa zamani sera ya elimu ilikua inakataza haya mambo na wanafunzi wote walikua wanavaa sare baadae akaja waziri flani ndo akaingiza hizi mambo.
Jamani mbona jeshini wote wananyoa sawa na wanavaa sare zinazofanana manake jeshi na polisi halina waislam? Yani Mh Said Mwema aingie ofcn na kibandiko kisa tu ni imani ake ataeleweka? Jaman sihamasishi udini ila naeleza umuhimu wa kuwa na sare za aina moja tu wawapo darasani
Nadhani vazi la Hijabu linafaa zaidi liwe vazi rasmi kwa watoto wa kike mashuleni wanapendeza sana kama Masister.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom