Msweet
JF-Expert Member
- Mar 26, 2014
- 2,937
- 3,997
Kuna hii product inaitwa Clonovate Cream na nyingine nyingi tuu. Zina steroids za Hali ya juu..... Watu wanadanganywa ni natural products.... Soko limeharibika kabisa. Watu ni kusaka pesa kwa kwenda mbele .... Wananchi wanatakiwa kuwa Makini zaidi.Vivyo-hivyo kwenye upande wa COSMETICS, haswa hizi wanazoziita NATURAL COSMETICS. Wako wanaoharibu biashara hii kwa kutumia viambato ndivyo-sivyo; mfano CORTICOSTEROIDS aina ya Betamethasone N.K.
Steroid-Based Skin Creams for Cosmetic Use Has Dangerous Implications.
India CSR News Network BENGALURU: The widespread misuse of skin creams and lotions that contain steroids in India is becoming more
indiacsr.in