Uuzwaji holela wa dawa za Mitishamba udhibitiwe, nyingine ni hatari kwa afya ya binadamu!

Ukitaka kujua hiyo dawa ni mkojo mtupu ameweka humo wewe muambie masai nataka nikununulie hii dawa uinywe wewe mwenyewe nikikuona.
 
Nyingi zina high potassium ambazo zinaweza sababisha kuua kwa figo matokeo yake unajikuya umri mdogo unaanza fanya hemodialysis tuweni makini na afya zetu jamani...kwenye swala zima la afya tuwe 2napenda kufanya research mana afya yako ni mtaji wako wa baadae
 
Kumbe ndo mana siku hizi wagonjwa wa figkywamekuwa wengi.
 
Back
Top Bottom