UUUUUUMH CHIPS

Nimegundua vyakula ambavyo wengi hawavipendi hapa,mm km n mgeni wako nikikuta umevipika nnaweza nisiondoke hadi nimehakikisha nimekula kwanza na huwa sijivungi!
 
Kande.tambi.ndizi za kupika ambazo hazjawekwa nyama.na viazi vya kupikwa ambavyo havina nyama..yan huwa nakula ila sishibi kabisa mpaka vipate ushirkiano...,,,kama ni tambi basi uniwekee na viazi vilivyoungwa vizur vikatiwa na nyama....kama unataka ndizi nile nishibe basi iwe ndizi nyama au ndizi samak hapo nitashiba sio ndizi tu plain...kande ndio kabisa sishibi labda zipikiwe kwa nazi
Una uhakika ukipewa kande debe moja la kilo kumi na nane hautoshiba?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom