UUUUUUMH CHIPS

Kande.tambi.ndizi za kupika ambazo hazjawekwa nyama.na viazi vya kupikwa ambavyo havina nyama..yan huwa nakula ila sishibi kabisa mpaka vipate ushirkiano...,,,kama ni tambi basi uniwekee na viazi vilivyoungwa vizur vikatiwa na nyama....kama unataka ndizi nile nishibe basi iwe ndizi nyama au ndizi samak hapo nitashiba sio ndizi tu plain...kande ndio kabisa sishibi labda zipikiwe kwa nazi
 
mimi msosi wowote nakula ila sipendi ugali na utumbo. ila najiuliza hapa mtoa mada ni wanamke au mwanaume kwa uandishi huu wa ''uuuuuuh" sipendi wanaume unakuta anaandika "uuuwi"
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom