casanova69
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 2,358
- 2,143
Chips sio chakula labda huko darisalama,huku kwetu ni mboga tunalia ugali.
Hilo tunda nalipenda ila halinipendi, kila nikilila natunukiwa Leseni daraja C1Tamu hataree..Nakula hadi mbegu nazichemsha
izo ctak kuckia hata harufu yake na xio ubixhoo clag toka mdogo
Pole unakosa uhondoHilo tunda nalipenda ila halinipendi, kila nikilila natunukiwa Leseni daraja C1
Yaan siupendi jamani .nilikula Mara moja tu sikurudia tena.
wanaume wa Dar wanakishangaza na maneno yao.Mie labd kitimoto tuu
Yeye kasema chakula wewe unasema nyamaKitimoto
NI CHAKULA GANI HUEZI KULA HATA UWE NJAA VIPI?
MIMI NI *CHIPS.*
Yan nakula chochote kutokana na mazingira ila kitimoto cwez kula hata iwejewanaume wa Dar wanakishangaza na maneno yao.
Hizo sitaki kusikia hata harufu yake.Na siyo ubishoo.Huwa sili tangu nikiwa mdogo.izo ctak kuckia hata harufu yake na xio ubixhoo
clag toka mdogo
duuh BC apo nna f ya kixwahil maana n xentens mbl tofaut apoHizo sitaki kusikia hata harufu yake.Na siyo ubishoo.Huwa sili tangu nikiwa mdogo.
Unasemaje wewe?wali ndondo
Basi ndio HULI KILA KITU. ungekuwa unakula kila kitu ungekula mpaka SUMUNakula kila kitu kasoro sumu