Uungwana: DC wa Iringa Mjini, Richard Kasesela aomba radhi kutokana na kuteleza kwa ulimi wake

Sexless acha unafiki,Magufuli alivyotukana wananchi kuwa wabaki na mavi yao nyumbani alikuwa anatumia madawa ya kulevya pia?Una kibri pamoja na ujinga wa double standard?Unaelewa kuwa hawa wakuu wa wilaya wamejifunza huu ujinga kutoka kwa aliekuwa boss wao?



 
Sexless acha unafiki,Magufuli alivyotukana wananchi kuwa wabaki na mavi yao nyumbani alikuwa anatumia madawa ya kulevya pia?Una kibri pamoja na ujinga wa double standard?Unaelewa kuwa hawa wakuu wa wilaya wamejifunza huu ujinga kutoka kwa aliekuwa boss wao?



View attachment 1764416
Kasesela ana kosa la kulewa akiwa kazini. Kubaki na mavi ni tusi gani? Kama huna choo utajisaidia wapi, si utabaki na mavi ndani tu? Tusi lingekuwa kumwambia "mavi yako" "mataka yako"
 
Mkuu Tindo, naheshimu mno maoni yako, isipokuwa kuna mazingira ambayo hujitokeza ambapo kunatokea uropokaji wa maneno yenye kuudhi ambayo humfanya mtu naye ajibu mapigo kwa lugha ya hovyo vilevile. Najaribu kuliangalia tukio hili kama "mutually exclusive case" kwa hiyo siwezi kumtetea Bibo ikiwa hiyo ndiyo kawaida yake kufanya hivyo.

Huyo ndio zake. Anakuwa mstaarabu tu pale mambo yake yanapoenda atakavyo, ikiwa kinyume chake tabia yake halisi huonekana.
 
Huyo ndio zake. Anakuwa mstaarabu tu pale mambo yake yanapoenda atakavyo, ikiwa kinyume chake tabia yake halisi huonekana.
Tusi ni kosa la jinai, kudhalilisha ni kosa la jinai. Yule aliyetukanwa ana mke, watoto, wakwe na watu wengine wanaomheshimu, kumwambia matako yako kwa kurudiarudia hadharani na mbele ya camera, nyuma ya vipaza sauti na mbele ya walinzi ni ukiukwaji mkubwa wa maadili.

Kwanini tuendelee na wewe? Una kitu gani very special kitakachosababisha wewe utukane na ubaki kuwa DC, taifa lina uhaba mkubwa kiasi gani cha watu hadi livumilie DC wa hivi?
 
Ila mama ningemuomba sana sana kisarawe amuache tu JOKATE asimuondoe pale au kama ikibidi amuhamishie wilaya nyingine ila asimtoe kabisa unless kama kuna yaliyo chini siyajui kumuhusu.
Kwani Tanzania nzima Mtu anayetakiwa Kuteuliwa katika Uongozi sehemu mbalimbali ni DC Jokate Mwogelo pekee? Acha ( Acheni ) Unafiki na kuendeleza Maslahi yenu na Kujipendekeza kwa Wakubwa nchini.
 
Kasesela ana kosa la kulewa akiwa kazini. Kubaki na mavi ni tusi gani? Kama huna choo utajisaidia wapi, si utabaki na mavi ndani tu? Tusi lingekuwa kumwambia "mavi yako" "mataka yako"
Unaelewa tusi ni nini?Unaelewa sifa kuu ya tusi?Sifa kuu ya tusi ni ile hali ya mtu kujisikia embarrassment baada ya kuambiwa maneno fulani yenye viashiria hasi kutoka kwa mtu fulani.

Baada ya wale wananchi kuambiwa na Magufuli kuwa wabaki na mavi yao nyumbani walijisikia embarrassment na hapo ndipo walipotukanwa.
 
Kusamehewa ni wajibu, nami nimeshasamehe kabisa...

Lakini kanuni ya msamaha haihusiani na mtu kutowajibika kwa kubeba athari za tabia au matendo yake maovu...

So he has to bear and carry the consequences of his actions...

Hata kwa Mungu Yehova, ndivyo ilivyo..

Mfano, ukitenda dhambi ya uzinzi au uasherati au ugoni kwa kulala na mume au mke wa mtu na ukakamatwa na ukapigwa mpaka ukavunjika mguu au ukasababishiwa ulemavu wa kudumu mwilini mwako, au ukapata maambukizi ya magonjwa ya zinaa, basi...

Ukifanya toba (ukiomba msamaha) kwa Mungu Yehova, atasamehe dhambi yako hiyo na kukupokea kuwa mtoto wake, lakini haitaondoa madhara yaliyoletwa na tendo lako...

Kwa hiyo, ndugu yangu DC Richard Kasesela umeshasamehewa na kila mtu anayeelewa maana ya msamaha lakini ukiondolewa ktk nafasi yako hiyo, pia kubali tu na usije kudhani kuwa hujasamehewa...

Ukomavu wa mtu ni pamoja na kukubali kuwajibika kwa matendo na makosa yake...
 
Kiongozi anatakiwa awe na uwezo wa kudhibiti hasira zake,huyo hafai kuwa kiongozi,kitokacho mtu kinatokea akilini mdomo ni output tu ukiona hvy hata akiwa offline huko ofcn kwake yuko hvy hvy awajibishwe iwe fundisho kwa wengine kwani zile seminar za viongozi hakupita, tena tunaambiwa huyu ni mwenyekiti wa wakuu wa wilaya, what a shame,huyu anaweza agiza Askari kuua incase kagafilika???hafai
 
Unaelewa tusi ni nini?Unaelewa sifa kuu ya tusi?Sifa kuu ya tusi ni ile hali ya mtu kujisikia embarrassment baada ya kuambiwa maneno fulani yenye viashiria hasi kutoka kwa mtu fulani.Baada ya wale wananchi kuambiwa na Magufuli kuwa wabaki na mavi yao nyumbani walijisikia embarrassment na hapo ndipo walipotukanwa.
Kipimo cha kuwa embarrassed ni kipi? nani ana takwimu za waliokuwa embarrassed? Tusi ni neno lolote ambalo huwezi kumwambia mama yako au baba yako au unayemheshimu. Mbona watu wasiokuwa na vyoo wanaadhibiwa? Na watu wanaambiwa kila siku wasijisaidie porini? Hata kumwambia mtu "macho yako" "kichwa chako" ni tusi.
 
Back
Top Bottom