Uundwaji wa tume Tanzania!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uundwaji wa tume Tanzania!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Akili Unazo!, Jul 29, 2009.

 1. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,799
  Likes Received: 2,477
  Trophy Points: 280
  Wakuu naomba mnisaidie juu ya hili suala hivi kwa nini mawazi wanakimbilia kuunda tume kuchunguza mambo hata kwa yale yaliyo wazi?ni kukosa umakini au kutokuwa na uamuzi wa kuamua vitu bila kushirikishana?

  Hili limekuja baada ya kupitia gazeti la mwananchi leo na kukuta kichwa cha habari kinachosema kuwa 'Tume yaundwa kuchunguza ufisadi wa Tanesco''

  Hivi hata hili lilowazi kabisa linahitaji kuundiwa tume wakati mambo yako wazi.

  Na hakuna hatua ambayo inaweza chukuliwa bila undwaji wa tume?
   
Loading...