Uume unasimama legelege na nikikutana na mwanamke dakika 2 umelala wakati mwingne wakati wa maandalizi unasimama kisha unalala

malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
2,748
2,623
Wakuu naombeni msaada nimeoa miaka mitano sasa kabla ya kuoa nilikuwa kila nikikutana na mwanamke dakika 3 nakojoa na siwezi kurudia tena raundi nyingne hali iliendelea hivyo mpaka nikaoa, maisha ya ndoa yakaendelea ila changamoto ikawa hiyo.

Katika maisha ya ndoa changamoto ikawa mara nyingi yaani uume unalala wakati wa maandalizi na unasimama legelege pia hata nikifanikiwa kuingiza ukeni nitafanya dakika 4 nakojoa na siwezi kurudia tena au wakati mwingine uume ukiwa ukeni nafanya dakika 2 unalala, tatizo hili limekuwa linafanya namuacha mke wamgu njiani na nitatizo linanitesa sana.

Wakuu nahitaji msaada wenu nipone na kuweza kumridhisha hamu zake mke wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hilo ni swala la kisaikolojia. Unajenga uoga mwingi kuhusu hilo swala kabla ya tendo.

Kwanza unafanya mazoezi? Kimbia japo nusu saa kwa siku kwanza usafishe mishipa ya damu hili damu iteremke kwa wingi na kujaza uume wakati wa tendo. Na kukimbia itakuongezea pumzi pia.

Kula mboga mboga na kunywa maji mengi.
 
Wakuu naombeni msaada nimeoa miaka mitano sasa kabla yakuoa nlikua kila nikikutana namwanamke dk3 nakojoa na siwezi kurudia tena raund nyingne hali iliendelea hivo mpaka nkaoa maisha ya ndoa yakaendelea ila changamoto ikawa hiyo
Ktk maisha ya ndoa changamoto ikawa mara nyingi yaan uume unalala wakati wamaandalizi na unasimama legelege pia hata nkifanikiwa kuingiza ukeni ntafanya dk4 ntakojoa nasiwezi kurudia tena au wakat mwingne uume ukiwa ukeni nafanya dk2 ulala tatizo hili limekua linafanya namuacha mke wamgu njian namitatizo linanitesa sana
Wakuus nahitaji msaada wenu nipone nakuweza kumridhisha hamu zake mke wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu?

Vipi wife
1. Anakulalamikia kuhusu hili jambo?
2. Amewahi kukushauri lolote?
3. Zaidi ya kuomba ushauri ulishawahi kuwaona matabibu waangalie cha kukusaidia?

Kama 1. Jibu ni ndio, shukuru Mungu. Kama ni hapana, ndio basi tena ushaumia (nadhani umenielewa)
Kama 2. Jibu ni ndio, shukuru Mungu. Kama ni hapana... Eee Mungu twakuomba umhurumie huyu mja wako
Kama 3. Jibu ni hapana, Hebu fanya hivyo. Kama ni ndio ntawaita watumishi wa Mungu wenzangu tukufanyie maombi
 
Wakuu naombeni msaada nimeoa miaka mitano sasa kabla yakuoa nlikua kila nikikutana namwanamke dk3 nakojoa na siwezi kurudia tena raund nyingne hali iliendelea hivo mpaka nkaoa maisha ya ndoa yakaendelea ila changamoto ikawa hiyo.

Katika maisha ya ndoa changamoto ikawa mara nyingi yaan uume unalala wakati wamaandalizi na unasimama legelege pia hata nkifanikiwa kuingiza ukeni ntafanya dk4 ntakojoa nasiwezi kurudia tena au wakat mwingne uume ukiwa ukeni nafanya dk2 ulala tatizo hili limekua linafanya namuacha mke wamgu njian namitatizo linanitesa sana.

Wakuus nahitaji msaada wenu nipone nakuweza kumridhisha hamu zake mke wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo pm mkuu nitakusaidia for free

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashawishika kuchangia kwa sababu ni suala la ndani ya ndoa.
Mimi maswali yangu ni yafuatayo
1. Ulikuwa unapiga punyeto kabla ya ndoa?
2.Ulikuwa unaangalia ponografia kabla ya kupiga punyeto?
Naomba majibu ya hapo juu ndipo nitaweza kukushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu naombeni msaada nimeoa miaka mitano sasa kabla yakuoa nlikua kila nikikutana namwanamke dk3 nakojoa na siwezi kurudia tena raund nyingne hali iliendelea hivo mpaka nkaoa maisha ya ndoa yakaendelea ila changamoto ikawa hiyo.

Katika maisha ya ndoa changamoto ikawa mara nyingi yaan uume unalala wakati wamaandalizi na unasimama legelege pia hata nkifanikiwa kuingiza ukeni ntafanya dk4 ntakojoa nasiwezi kurudia tena au wakat mwingne uume ukiwa ukeni nafanya dk2 ulala tatizo hili limekua linafanya namuacha mke wamgu njian namitatizo linanitesa sana.

Wakuus nahitaji msaada wenu nipone nakuweza kumridhisha hamu zake mke wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuuh pole sana mkuu,sa maisha ndani ya nyumba si magumu sana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom