malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 2,778
- 2,703
Wakuu naombeni msaada nimeoa miaka mitano sasa kabla ya kuoa nilikuwa kila nikikutana na mwanamke dakika 3 nakojoa na siwezi kurudia tena raundi nyingne hali iliendelea hivyo mpaka nikaoa, maisha ya ndoa yakaendelea ila changamoto ikawa hiyo.
Katika maisha ya ndoa changamoto ikawa mara nyingi yaani uume unalala wakati wa maandalizi na unasimama legelege pia hata nikifanikiwa kuingiza ukeni nitafanya dakika 4 nakojoa na siwezi kurudia tena au wakati mwingine uume ukiwa ukeni nafanya dakika 2 unalala, tatizo hili limekuwa linafanya namuacha mke wamgu njiani na nitatizo linanitesa sana.
Wakuu nahitaji msaada wenu nipone na kuweza kumridhisha hamu zake mke wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app