Uume unasimama legelege na nikikutana na mwanamke dakika 2 umelala wakati mwingne wakati wa maandalizi unasimama kisha unalala

Mr Devil

JF-Expert Member
Jul 7, 2019
4,922
2,000
Kua mpole tu maana usha chapiwa tayari ndani ya uo mda wote kwenye ndoa

Sent from my SM-A105G using Tapatalk
 
malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
1,452
2,000
Tatizo liko hapo kwenye mazoezi.
Jenga pumzi, anza mazoezi ya kukimbia leo, baada wiki mbili utaanza kuona tofauti. Baada hapo utaanza kupunguza uoga kwani utaona mashine inakupa matokeo ya mazoezi.

Mazoezi yatakusaidia kujilinda na magonjwa ya moyo na kisukari ambayo yanachangia sana kwenye kupunguza nguvu za kiume.

Mkuu ngoja nianzie hapo ktk mazoezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thesis

JF-Expert Member
Aug 30, 2017
1,606
2,000
Kabla ya ndoa nimepiga punyeto mara tano ila picha cha ponigraf nimeangalia sana nina miaka10 niache kuangalia picha ngono

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, tatizo lako lipo hapo! Utashauriwa mengi sana na watu, Lakini mimi kama mtu ambaye nimepata kushuhudia jambo kama hili lako, Nasema hivi mzizi wa tatizo lako ni ponografia! Na bila shaka zungumza na nafsi yako utagundua upo addicted na ponografia! Utajuaje upo addicted? Ni pale ambapo huna control, unajukuta Tu umefungua pono hata bila kufikiria.

Utapata ushauri mwingi lkn tatizo lako amini nakwambia chanzo chake namba moja ni ponografia. Unaweza kunieleza ni mara ngapi kwa wiki unatizama?

Kabla sijakupa ushauri wowote ule, kwa wakati huu nashauri usitumie dawa yoyote ile ya kuongeza nguvu za kiume, la sivyo utauwa kabisa nguvu zako na tatizo lako likawa complex

Mkuu nna miaka zaid ya kumi siangalii picha ngono hata kwakujiiba siangalii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gachuma jr

JF-Expert Member
May 20, 2018
729
500
Aisee pole sana,hebu anza mazoezi mepesi ya mwili,Fanya mazoezi ya mshipa wa kegeli,zingatia lishe bora,fanya mfululizo wiki mbili kisha nipe mrejesho ili nikupe hatua itakayofuata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kidadike

Member
Feb 19, 2013
33
125
Pole sana Mkuu punguza pressure na believe in your self tumia asali, mdalasini na vitunguu swaumu bila kusahau boresha Mlo inachukua muda kuwa na uvumilivu tu pia jifunze namna bora ya kutumia hizo vitu
 
Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
12,872
2,000
Wakuu naombeni msaada nimeoa miaka mitano sasa kabla yakuoa nlikua kila nikikutana namwanamke dk3 nakojoa na siwezi kurudia tena raund nyingne hali iliendelea hivo mpaka nkaoa maisha ya ndoa yakaendelea ila changamoto ikawa hiyo.

Katika maisha ya ndoa changamoto ikawa mara nyingi yaan uume unalala wakati wamaandalizi na unasimama legelege pia hata nkifanikiwa kuingiza ukeni ntafanya dk4 ntakojoa nasiwezi kurudia tena au wakat mwingne uume ukiwa ukeni nafanya dk2 ulala tatizo hili limekua linafanya namuacha mke wamgu njian namitatizo linanitesa sana.

Wakuus nahitaji msaada wenu nipone nakuweza kumridhisha hamu zake mke wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mazoezi

Maji mengi

Matunda

Vitunguu swaumu

Asali, tangawizi, mdalasini

Forever Multimaca.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom