Uume kusinyaa

Mi nimekuelewa pasha maji moto,chovya taulo dogo nakuikanda kwa dakika 5, hii itaongeza mzunguko wa damu.
1.ivute mbele kwa sekunde 6
2.ivute kushoto " " "
3.ivute kulia " " "
4.ivute chini " " "
5.ivute juu " " "
Fanya zoezi hili mara 2 kwa siku kwa siku 10 haitasinya tena.
Hii itakuwa punyeto
 
Matibabu

1.pendelea sana kula vitungu swaumu jioni na asubuhi.menya vitatu km ni vidg au viwili km ni vikubwa.shushia na maji ya vugu vugu.badae piga mswaki(mshana jr)

2.changanya asali na mdalasini.vijiko vitatu vya asali kimoja cha mdalasini na ulambe asubuhi na jioni au chemsha chai ya mdalasini weka asali, tangawizi kali uwe unakunywa kila siku(mexi melo.CEO jf)

3.piga mixer ya matiki maji, karoti, ndizi na parachichi.

#fanya hivo mdau usipofanikiwa basi inahitaji maombi.mwisho kumbuka kusali
 
Bila kusahau maji mengi na mazoezi
Matibabu

1.pendelea sana kula vitungu swaumu jioni na asubuhi.menya vitatu km ni vidg au viwili km ni vikubwa.shushia na maji ya vugu vugu.badae piga mswaki(mshana jr)

2.changanya asali na mdalasini.vijiko vitatu vya asali kimoja cha mdalasini na ulambe asubuhi na jioni au chemsha chai ya mdalasini weka asali, tangawizi kali uwe unakunywa kila siku(mexi melo.CEO jf)

3.piga mixer ya matiki maji, karoti, ndizi na parachichi.

#fanya hivo mdau usipofanikiwa basi inahitaji maombi.mwisho kumbuka kusali
 
Kama anaona anapiga bao mapema ni vyema anapokaribia kileleni achomoe mzee kidogo ili arudi katika normal level.unaweza kuzuga kama unabadilisha style ila unampumzisha mzee kidogo
Akigoma simama je ukshamchomoa?
Ile unajifanya unabadilisha style ikasinyaa na ikagoma ingia
 
Mwanaume anayepatwa na tatizo hili anapokuja kujigundua huona kama mabadiliko makubwa yaliyotokea ghafla katika viungo vyake vya siri. Mwanamke mwenye tatizo hili pia naye huona kama tatizo geni linaloanza ghafla.

Kwa kawaida hali hii hutokea katika umri mkubwa kwa mwanaume na mwanamke yaani kuanzia umri wa miaka hamsini lakini ikitokea katika umri chini ya miaka hamsini basi ni tatizo. Wapo vijana wenye matatizo haya ambayo vyanzo vyake tutakuja kuviona katika safu hii.

CHANZO CHA TATIZO
Hali ya kusinyaa kwa viungo vya uzazi kwa mwanamke na mwanaume hutokana na kuwepo kwa msukumo hafifu wa damu sehemu hiyo, maambukizi sehemu za siri ambayo huwa ya muda mrefu hasa kaswende, hitilafu katika misuli ya uke na sehemu za siri za mwanaume inayoathiriwa na kaswende virusi vya HIV, ugonjwa wa kifua kikuu na hata baadhi ya magonjwa sugu ya ngozi. Matatizo mengine yanayochangia hali hii ni ugonjwa wa kisukari.

Matatizo katika mishipa ya damu vilevile huweza kusababishwa na magonjwa ya moyo au mishipa ya damu inayosambaa sehemu hizo. Misuli inaposinyaa kwa mwanamke nayo huweza kusababishwa na magonjwa kama tulivyoona, uke unasinyaa pia huweza kusababishwa na uzazi wa mara kwa mara na karibu kufanya ngono mara kwa mara na wanaume tofauti na hitilafu katika mfumo wa homoni.

Mwanamke anapata tatizo hili la kusinyaa uke endapo pia homoni au kichocheo cha Estrogen' kitakuwa kimepungua mwilini na kufanya mafuta yapungue ukeni. Kwa upande wa mwanaume homoni inayopungua kwa mwanaume ni Testosterone.

DALILI ZA TATIZO
Mwanaume mwenye tatizo hili hasa kijana, ingawa kwa wazee ni hali ya kawaida, kijana huanza kuona mfuko wa pumbu hulegea na kushuka sana, usinyaa na kujikunja kunja, kokwa huinekana ndogo na mishipa mikubwa ya damu huanza kujitokeza na mishipa mbegu toka katika kende huonekana wazi. Uume huwa kama wa mtoto mdogo na mishipa ya damu huchomoza wazi. Nguvu za kiume hupungua sana na endapo ukiweza tendo la ndoa la kwanza unawahi kumaliza na kushindwa kabisa kupata tendo la pili.

Mara kwa mara maandalizi kabla ya tendo la ndoa kwa mwanaume mwenye tatizo hili ni kuchezea sana uume kwa kuurusharusha au kuupiga piga kidogo kidogo ili kuamsha au kuhamasisha msukumo wa damu. Baada ya hapo uume huanza kusimama taratibu na endapo utasimama basi inabidi uwahi tendo na kama utachelewa, basi uume utalala na kushindwa tena kufanya tendo kwa siku hiyo.

Mwanamke yeye daima huwa mkavu na wakati wa tendo hapati hisia zozote hadi tendo linapokwisha na kama mwanaume hana tatizo lolote na mwenye nguvu za kutosha basi mwanamke atapata michubuko na maumivu na kuhisi karaha ya tendo na hawezi kufika kileleni.

UCHUNGUZI
Tatizo hili kama tulivyoona husababishwa na magonjwa mbalimbali, pia yapo matatizo na magonjwa mengine yanyochangia hali hii, magonjwa kama kisukari, endapo ugonjwa utakuwa wa muda mrefu unaweza kuathiri hali hii.

Tabia ya kujichua kwa mwanaume na mwanamke pia huweza kuathiri au kusababisha tatizo hili kama mtu atakuwa amejichua au kupiga punyeto kwa muda mrefu kwani msukumo wa damu sehemu za viungo vya uzazi utakuwa umeathiriwa.

Viungo vya uzazi vinaweza kupooza kutokana na hitilafu katika mishipa ya fahamu. Mishipa ya fahamu inapoathirika viungo hupooza (paralysis of genitalia) na mwanaume kushindwa kabisa kufanya tendo la ndoa na ukeni hakuna kabisa mawasiliano yanayoleta msisimko.

Vipimo vya damu na mkojo na vingine ambavyo daktari ataona vinafaa vitafanyika.

MATIBABU NA USHAURI
Tiba hutolewa kadiri daktari atakavyoona inafaa. Matibabu hutolewa katika kliniki za matatizo au magonjwa ya kinamama ambapo na kina baba hutibiwa matatizo haya.

Baada ya uchunguzi tiba itatolea kuona kama hitilafu ni maambukizo au katika mfumo wa homoni. Wahi hospitali kwa uchunguzi na tiba zaidi.
Mm pia nina hili tatizo sema nina miaka 6 toka niache punyeto je n njia gan sahihi nichukueee ndugu
 
Mm pia nina hili tatizo sema nina miaka 6 toka niache punyeto je n njia gan sahihi nichukueee ndugu
Hakikisha unakunywa chai yenye karafuu kila siku ukichanganya na Tangawizi + asali utakuja nishukuru baadae.

ONYO: ulizoea kutumia hoyo nyege ni kama zote kila saa unahisi unataka K
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom