Uume kusimama wakati wa kulala

Prisoner

Senior Member
Jan 26, 2010
119
0
Habari ya kazi wana JF napenda kuchukua nafasi hii kuuliza swali mimi huwa nalala saa nne usiku na kuamka saa kumi nambili asubuhi Tatizo langu kila wakati wa kulala uume wangu usimama usiku kucha ikifika asubudi naamka ndio hutulia na ukisimama unasimama mpaka unauma usiku kucha je Hili ni tatizo au nini maana ninaishi peke yangu katika chumba mpenzi wangu yupo mbali je nifanyeje?? kuondoa hali hiyo??
 
hilo siyo tatizo.. the natural state ya uume ni kusimama! sasa ukiwa umelala ni kama umekufa.. did you know mtu akifa.. huwa unasimama vile vile! (don't ask me how I knew that)..
 
wewe vipi wewe!
inasiamam usiku kucha? unajuaje, huwa hulali?

Unajua huku nilipo mzee si unajua wakati unaamka ku urine unakuta mzee kasimama unalala amesimama unalalaaa unasema uamke tena kuangalia unakuta tena du bado amesimama. hata hisia zako tu utajua imesimama au wewe kitu kikiwa tofauti kwenye mwili wako hujui??? au viungo vyako havina ushirikiano na akili???
 
Habari ya kazi wana JF napenda kuchukua nafasi hii kuuliza swali mimi huwa nalala saa nne usiku na kuamka saa kumi nambili asubuhi Tatizo langu kila wakati wa kulala uume wangu usimama usiku kucha ikifika asubudi naamka ndio hutulia na ukisimama unasimama mpaka unauma usiku kucha je Hili ni tatizo au nini maana ninaishi peke yangu katika chumba mpenzi wangu yupo mbali je nifanyeje?? kuondoa hali hiyo??

umeoa??
kama bado oa , muda ndio huu, ndio maana jamaa anakuwa na njaa kila wakati
 
pole,
tafuta kicheche uwe unapunguza au kama vipi funga ndoa!
 
Lazima una jini sali na uombe toba kwa Mungu.

Madhara ya mkongoraa na mkuyati hayo.
 
Nakushauri nenda Muhimbili kwanza ukaonane na daktari bingwa ili aweze kushughulikia tatizo hilo. Watu wengi wakisikia issue kama hiyo hufikiria urijali lakini siyo kweli wakati wote kwani tatizo kama hilo usipokwenda kuonana na wataalam unaweza kuishia doro [its a possibility]
 
Hiyo kwangu naona ni kawaida maana mara nyingi nipatapo ka usingizi hata nikiwa JOB mzee lazima akwee anga kama ni home wakati wa kulala lazima asimame nikipotelea usingizini huwa analala, nikiamka mara nyingi lazima asimame mpaka ntakapoenda kuoga anasinyaa tena, so mimi kwangu ni kitu cha kawaida lkn kinanniletea shida sometimes kwa my wife wangu ana nituhumu kuwa over ambitious kwenye sex, lkn hiihali ninayo toka nikiwa darasa la sita kama sikosei, anaogopa sana hahahah.
 
hakuna tatizo ndugu, hiyo ni dalili ya afya njema na ilipaswa kuwa hivyo kwa kila mwanaume mwenye afya njema hasa wenye miaka 17-30.

mshukuru Mungu kwa afya njema uliyonayo ila uwe mwangalifu na mwenendo wako usije ukajaribiwa na ibilisi, ikapata ukimwi

ni hayo tu...................
 
Back
Top Bottom