Prisoner
Senior Member
- Jan 26, 2010
- 119
- 0
Habari ya kazi wana JF napenda kuchukua nafasi hii kuuliza swali mimi huwa nalala saa nne usiku na kuamka saa kumi nambili asubuhi Tatizo langu kila wakati wa kulala uume wangu usimama usiku kucha ikifika asubudi naamka ndio hutulia na ukisimama unasimama mpaka unauma usiku kucha je Hili ni tatizo au nini maana ninaishi peke yangu katika chumba mpenzi wangu yupo mbali je nifanyeje?? kuondoa hali hiyo??