Uume kusimama kupita kiasi-ni tatizo?

M-bongotz

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,734
405
Kwa niaba ya huyu ndugu yangu naomba msaada wa mawazo/kitaalam.

Huyu jamaa ni rafiki yangu mkubwa sana toka enzi za utoto wetu, aliniomba msaada wa mawazo kuhusu tatizo lake lakini nikashindwa kumpa msaada wa kitaalam zaidi ya ule wa mawazo tena pengine yasiyo ya kitaalam.

Tatizo lake ni kusimama kwa uume wake kupita kiasi, mwenyewe anasema tatizo lake wala si ukame kwani anasema mke wake 'anamsaidia' ipasavyo lakini tatizo lipo pale pale, anasema sometimes unaweza kusimama hata saa nzima au zaidi kiasi kwamba hadi mishipa inamuuma, anasema wife wake anamvumilia sana kwa kumsaidia kumlaza jamaa mara kwa mara lakini anaogopa wife atamuona kama vile anaendekeza sana hiyo kitu.

Jamani kuna sababu yeyote ya kitaalam kuhusu jambo hili?.,inawezekana kuna wengine wengi wana tatizo kama hili.,mawazo yenu ni muhimu sana kwani yanaweza kumrudishia faraja jamaa yangu na wengine wenye tatizo kama hili.
 
Tatizo lake ni kusimama kwa uume wake kupita kiasi, mwenyewe anasema tatizo lake wala si ukame kwani anasema mke wake 'anamsaidia' ipasavyo lakini tatizo lipo pale pale, anasema sometimes unaweza kusimama hata saa nzima au zaidi kiasi kwamba hadi mishipa inamuuma,
.
Sasa mkulu, inasimama kwa maana hata akipewa unyumba hawezi kufika kileleni kwa muda muafaka au akifika kileleni bado inakuwa imesimama?
haya ni matatizo mawili tofauti kabisa.

Dr mm siwezi kutoa ushauri based on your explanation
 
Ni mvivu wa mazoezi, afanye aerobic class for 1 hr, tumbo for 1/2 an hr then light weight lifting for 1 hr kila siku wiki 1 tu kwisha habari yake.
 
Ni mvivu wa mazoezi, afanye aerobic class for 1 hr, tumbo for 1/2 an hr then light weight lifting for 1 hr kila siku wiki 1 tu kwisha habari yake.
kwa hiyo unataka kusemaje?
Kwamba hiyo kitu inachukua mazoezi on his behalf?
 
Tatizo hilo niliwahi kua nalo. Ni lack of vitamin B, niliambiwa. Kinachosababisha ni damu kuganda. I think tatizo niliisha sabab ya kula matunda kwa wingi.
sometimes ilikua ina erect hata wakati nimelala
 
eeeeeeebw. usimchoshe mkeo kwa tatizo dogo, huyo ni jini mahaba mtuwangu. Nenda kwa Mwingira, kakobe au rwakatale. Kwisha maneno!! kama hutaki shauri yako. mkeo atakonda bure!!
 
Sasa mkulu, inasimama kwa maana hata akipewa unyumba hawezi kufika kileleni kwa muda muafaka au akifika kileleni bado inakuwa imesimama?
haya ni matatizo mawili tofauti kabisa.

Dr mm siwezi kutoa ushauri based on your explanation

Hata akipewa unyumba haichukui muda kitu kiko mnara tena, sasa akikiendekeza si atakuwa anaduu siku nzima?..inakuwa kama vile ni mtu mwenye ashki ya ngono kupita kiasi lakini siyo hivyo maana mara nyingine anasema sometimes anaweza kuwa bize sana na kazi lakini ghafla anashangaa jogoo anawika tena vibaya sana kiasi cha kumfanya ashindwe hata kuchomekea shati.
 
eeeeeeebw. usimchoshe mkeo kwa tatizo dogo, huyo ni jini mahaba mtuwangu. Nenda kwa Mwingira, kakobe au rwakatale. Kwisha maneno!! kama hutaki shauri yako. mkeo atakonda bure!!

..............................lol :D
 
eeeeeeebw. usimchoshe mkeo kwa tatizo dogo, huyo ni jini mahaba mtuwangu. Nenda kwa Mwingira, kakobe au rwakatale. Kwisha maneno!! kama hutaki shauri yako. mkeo atakonda bure!!


Ha ha haaa acha masihara!
 
hapana..............

natofautiana na wote, ni afyua tena nzuri tu na wengine wanaitamani hapa japo hawasemi ukweli wa mioyo yao!!!!!

japo hujasema umri halisi wa huyo rafiki yako, lakini nami niliwahi kuwa na ishu kama hiyo miaka kadhaa iliyopita. ni kwamba nikikosa demu, naweza kukesha usiku mzima na mchana kuta hiyo kitu ikiwa mlingoti na ilikuwa inauma sana, nikajifunza pombe kidogo haikusaidia. nikaja kupata demu mmoja, nusura niache shule, manake nikiwa darasani ikisimama lazima nitoke niende kumtafuta hadi nimpate na kujaribu kuilaza lakini mtihani ulikuwa kwamab hailalai kwa bao moja au mbili. ni kuanzia sita tena bila kuchomoa hata mara moja, zinaunganishwa hukohuko hadi kuanzia sita ndio inatoka, ikisafishwa tu inaanza tena ka-mchezo, nakwambia ilibidi nitafute na suplementaries kadhaa manake huyo mmoja alikuwa hatoshi kabisa na namshukuru Mungu kwa kuniepusha na ngoma wakati huo. na tabia hii iliambatna na wivu mkali sana , manake unavyomhenyesha demu wako unadhani na wanaume wengine wanamhenyesha hivyohivyo, kwa hiyo unakuwa mkali sana.

ni afya tu wala asiogope,

lakini sio siri nilifaudu!!!!!!!! sikuwa nahitaji kitanda wala nini, mie iwe wimawima, mgongomgongo nk hata mavumbini naketi tu na ndani ya dk2 nimekung'uta magoli si chini ya sita!!!!!!
 
Mimi naona umshukuru Mwenyezi. Wengine wanatafuta hata hiyo ya kawaida hawana. kila siku ugomvi na MY WIFE ndani ya 6x6
 
Kweli kwenye miti hakuna wajenzi.Watu wagegundua kama kuna mtu anatembea na goldmine kubwa ya aina hiyo si ingekuwa balaa?Ulijari imekuwa issue mjini hapa!Lol
 
ahahahaha...kaka hiyo ni big soooo...hilo mzee ni tego unepigwa na limenasaa...utakuwa ulitembea na demu au mke wa mtu aliyetegwa umetupiwa zongo linaitwa "BORO DINDA"...wewe si ulijifanya unajua kusimamisha..sasa isimame milelee...hapo inabidi utafute wataalamu wa kitanga wakutegulie...zaidi ya hapo wala usihangaike na dawa za hospitali...pole sana mzeee
 
Condition-Priapism
Definition-Priapism is a rare condition that causes a persistent, and often painful, penile erection.

Description-Priapism is drug induced, injury related, or caused by disease, not sexual desire. As in a normal erection, the penis fills with blood and becomes erect. However, unlike a normal erection that dissipates after sexual activity ends, the persistent erection caused by priapism is maintained because the blood in the penile shaft does not drain. The shaft remains hard, while the tip of the penis is soft. If it is not relieved promptly, priapism can lead to permanent scarring of the penis and inability to have a normal erection.

Causes and symptoms-Priapism is caused by leukemia, sickle cell disease, or spinal cord injury. It has also been associated as a rare side effect to trazodone (Desyrel), a drug prescribed to treat depression. An overdose of self-injected chemicals to counteract impotence has also been responsible for priapism. The chemicals are directly injected into the penis, and at least a quarter of all men who have used this method of treatment for over three months develop priapism.

Diagnosis-A physical examination is needed to diagnose priapism. Further testing, including nuclear scanning or Doppler ultrasound, will diagnose the underlying cause of the condition.

Treatment-There are three methods of treatment. The most effective is the injection of medicines into the penis that allow the blood to escape. Cold packs may also be applied to alleviate the condition, but this method becomes ineffective after about eight hours. For the most serious cases and those that do not respond to the first two treatments, a needle can be used to remove the blood. The tissues may need to be flushed with saline or diluted medications by the same needle method. That failing, there are more extensive surgical procedures available. One of them shuts off much of the blood supply to the penis so that it can relax. If the problem is due to a sickle cell crisis, treatment of the crisis with oxygen or transfusion may suffice.

Prognosis-If priapism is relieved within the first 12-24 hours, there is usually no residual damage. After that, permanent impotence may result, since the high pressure in the penis compromises blood flow and leads to tissue death (infarction).

Prevention-An antineoplastic drug (hydroxyurea) may prevent future episodes of priapism for patients with sickle cell disease.

Resources

Books-Wertheimer, Neil. Total Health for Men. Emmaus, PA: Rodale Press, 1995.

Periodicals

Werthman, P., and J. Rajfer. "MUSE Therapy: Preliminary Clinical Observations." Urology 50 (November 1997): 809-811.
Key terms

Antineoplastic — A drug used to inhibit the growth and spread of cancerous cells.
Doppler ultrasound — An imaging technique using ultrasound that can detect moving liquids.
Infarction — Death of tissue due to inadequate blood supply.
Nuclear scanning — Use of injected radioactive elements to analyze blood flow.
Sickle cell anemia — A hereditary abnormality of blood cells in which some are deformed and may plug up small blood vessels.
 
lakini sio siri nilifaudu!!!!!!!! sikuwa nahitaji kitanda wala nini, mie iwe wimawima, mgongomgongo nk hata mavumbini naketi tu na ndani ya dk2 nimekung'uta magoli si chini ya sita!!!!!!

Duuh mwana magoli 6 ndani ya dakika mbili!!!!.....mzee ulikuwa kama kuku.
 
ED is one of the sensitive issues in the circles of men's health. It is estimated that about five percent of 40-year-old men and up to 25 percent of 65-year-old men may have the condition.
To understand how ED occurs there is a need to know how an erection occurs. The penis contains two chambers full of spongy tissue called the corpora cavernosa. When a man becomes sexually aroused impulses from the brain and local nerves cause muscles in the corpora cavernosa to relax, allowing blood to flow in and fill the spaces within the tissue.
This creates pressure in the corpora cavernosa, making the penis expand. A membrane called the tunica albuginea helps trap the blood in the corpora cavernosa, thereby sustaining an erection. The erection is lost when the muscles contract to stop blood flowing into the penis, and open outflow channels.
Anything which disrupts this sequence can lead to problems either getting, or keeping an erection. The most common cause of erectile dysfunction is damage to the tissues, the nerves, arteries, muscles or fibrous tissue. This is often linked to disease. Conditions such as diabetes, kidney disease, chronic alcoholism, multiple sclerosis and cardiovascular disease account for around 70 percent of cases of erectile dysfunction. In some cases the condition is caused by damage to the nerves and arteries near the penis, which can occur during surgery, particularly for prostate and bladder cancer. Physical injury to the penis, spinal cord, prostate, bladder or pelvis can also be a factor. ED can also be a side effect of some common medications, including blood pressure drugs, antihistamines, antidepressants and tranquilizers.
Experts believe that psychological factors such as stress, anxiety, guilt, depression, low self-esteem, and fear of sexual failure causes up to 20 percent of cases. Smoking, which affects blood flow, has also been linked to the condition. All in all, the good news is ED can be treated. Though a sensitive condition, men should seek medical intervention to spare themselves the emotional turmoil brought about by inability to go beyond kisses and hugs.
 
Back
Top Bottom