M-bongotz
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,734
- 405
Kwa niaba ya huyu ndugu yangu naomba msaada wa mawazo/kitaalam.
Huyu jamaa ni rafiki yangu mkubwa sana toka enzi za utoto wetu, aliniomba msaada wa mawazo kuhusu tatizo lake lakini nikashindwa kumpa msaada wa kitaalam zaidi ya ule wa mawazo tena pengine yasiyo ya kitaalam.
Tatizo lake ni kusimama kwa uume wake kupita kiasi, mwenyewe anasema tatizo lake wala si ukame kwani anasema mke wake 'anamsaidia' ipasavyo lakini tatizo lipo pale pale, anasema sometimes unaweza kusimama hata saa nzima au zaidi kiasi kwamba hadi mishipa inamuuma, anasema wife wake anamvumilia sana kwa kumsaidia kumlaza jamaa mara kwa mara lakini anaogopa wife atamuona kama vile anaendekeza sana hiyo kitu.
Jamani kuna sababu yeyote ya kitaalam kuhusu jambo hili?.,inawezekana kuna wengine wengi wana tatizo kama hili.,mawazo yenu ni muhimu sana kwani yanaweza kumrudishia faraja jamaa yangu na wengine wenye tatizo kama hili.