Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 816
Nina shida jamani, ni mwezi wa tatu sasa uume wangu hausimami nyumbani kabisa, kwa maana hiyo sijafanya mapenzi na mke wangu kwa kipindi chote hicho. Cha ajabu kabisa nina ka king'amuzi nje nikikaona tu uume unasimama na ninafanya mapenzi. Je huu utakuwa ugonjwa gani?