Uume hausimami nyumbani

Nduka Original

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,012
815
Nina shida jamani, ni mwezi wa tatu sasa uume wangu hausimami nyumbani kabisa, kwa maana hiyo sijafanya mapenzi na mke wangu kwa kipindi chote hicho. Cha ajabu kabisa nina ka king'amuzi nje nikikaona tu uume unasimama na ninafanya mapenzi. Je huu utakuwa ugonjwa gani?
 
Namuunga mkono mchangiaji wa kwanza.
Familia yako iko hatarini, kata mawasiliano mara moja na huyo king'amuzi, utapata aibu mjini.
 
Achana na nyumba ndogo haraka sana kabla hujapata matatizo makubwa kama kweli unayosema niukweli kwani yatakayo kupata mimakubwa sana na utajuta kuzaliwa mwanaume.
 
kuna shida katika ndoa yako,au mafarakano au mke wako amekosa mvuto kwako kushidwa kukusisimua kimwili.jaribu kukaa chini kisha tafuta shida hiko wapi katika ndoa yako kisha tatua tatizo..

Pia jaribu kutoka outing na mke wako kisha fanyeni mazungumzo ya kimapenzi wenyewe mkiwa nje kisha chukua hotel nzuri nenda na mke wako mfanyie surprise kisha angalia kama game alitokwenda au namna gani?usiingize habari za matatizo au mambo mengine siku hiyo zaidi ya mapenzi tu..
 
Mungu anamuepusha mkeo na miradhi inayoambukizwa kwa ngono.
Shetani anataka kuharibu ndoa yako, naona unaona fahari kumfanya shetani kuwa the third person ktk ndoa akichukua nafasi iliyokuwa ya Mungu siku mlipoapa mbele zako. Hongera sana, bado mambo yako ya kikazi na biashara nayo yatakuwa impotent soon.
 
Nina shida jamani, ni mwezi wa tatu sasa uume wangu hausimami nyumbani kabisa, kwa maana hiyo sijafanya mapenzi na mke wangu kwa kipindi chote hicho. Cha ajabu kabisa nina ka king'amuzi nje nikikaona tu uume unasimama na ninafanya mapenzi. Je huu utakuwa ugonjwa gani?

Uliberali unakunukia jiandae kuupokea.
 
Je unampenda mwenzio? endapo jibu ni ndio...mi nakushauri siku 1-2 mtoke mwende sehemu ya faragha mkatulie mwongeee mcheze pamoja mle, mnywe na mpumzike (muhamasishane) mmalizapo mrudi home
 
Pole,lakini unajiendekeza sana akili yako imezamaa kwa huyo nyumba ndogo ndio mana hata huyo mkeo unamuona kituko..
Rudisha mapenzi nyumbani.
 
Juju unaijua wewe?ndo ushaungwa sasa halafu hata hujazinduka

Kuna binti mmoja nae alikua anatembea na boss wangu akampiga juju jamaa akilala na mkewe tu k ni ya baridi balaa na yeye anakwambia hapo kazi amemaliza coz boss anakua hana hata ham na mkewe tena
 
kuna shida katika ndoa yako,au mafarakano au mke wako amekosa mvuto kwako kushidwa kukusisimua kimwili.jaribu kukaa chini kisha tafuta shida hiko wapi katika ndoa yako kisha tatua tatizo..

Pia jaribu kutoka outing na mke wako kisha fanyeni mazungumzo ya kimapenzi wenyewe mkiwa nje kisha chukua hotel nzuri nenda na mke wako mfanyie surprise kisha angalia kama game alitokwenda au namna gani?usiingize habari za matatizo au mambo mengine siku hiyo zaidi ya mapenzi tu..

well said! Na nyumba ndogo haiache kabisaa arudishe mapenzi kwa mkewe
 
Hii yako kali swahiba...jaribu kwenda kupiga mechi na wife hotelini kwa sababu sio nyumbani labda mambo yatajipa..
 
Achana na huyo kahaba mwenzio wa nje maana ndie amekufufikisha hapo ulipo.
 
Angalia usije kosa bara na pwani

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom