Uturuki yasema haitozuia wahamiaji wanaohitaji kuingia barani Ulaya. Yatoa magari kwa yeyote anayehitaji kwenda ulaya

isajorsergio

Platinum Member
Apr 22, 2018
4,125
6,250
Maelfu ya wahamiaji kutoka Syria wameanza kumiminika katika mipaka ya nchi za Ulaya wakitokea Turkey. Greece ndio nchi iliyoshuhudia wahamiaji wengi zaidi katika mipaka yake, aidha na raia/wahamiaji kutoka nchi za Pakistan, Iraq, Lebanon na Yemen nao wameunga mkono juhudi.

turki.jpg


Turkey ilifungua mipaka yake mapema leo na kuruhusu wahamiaji wanaohitaji kungia Ulaya kupita, kisha jioni ya leo Turkey imetoa magari ya kutosha na yenye standard za kimataifa kusafirisha wahamiaji wasiokuwa na usafiri wakufika mipakani. Hali hii inashuhudiwa katika mji mkuu jijini Instanbul pamoja na majiji na miji mingine pamoja na utoaji wa magari pia zimetolewa boti za kuwawezesha wahamiaji kuingia Ulaya bila bugdha.

BLUCess isaj TUr.png

Brand new Marcedes-Benz ya mwaka 2019 ikivusha wahamiaji kuingia ulaya

isaj TUr.jpg


Haya yanatokea baada ya Turkey kupoteza wanajeshi wake mjini Idlib, Syria. Wakati hayo yakiendelea Pakistan imesimama na Turkey na kusema wapo bega kwa bega kupambana na watu hatari wanaoichafua dunia nchi nyingine ni Albania, Uzbekistan, Somalia na Kazakhstan. Muda mfupi baada ya kusemwa hayo - Hilal Kaplan ambaye anayefanya kazi katika kitengo cha rais Erdogan kupitia mtandao wa Tweeter "Twira" aliandika "Let Europe burn too" akiwa na maana "Acha Ulaya iungue pia".

turkiforce.jpg


Wakati hayo yakiendelea runinga mbalimbali zimerusha matangazo ya moja kwa moja "Mubashara" zikionesha namna wahamiaji wanavyoingia Turkey na kutoka wenda Ulaya.

turke.jpg


Mtandao wa mawasiliano unaomilikiwa na serikali ya Turkey Turçe Telekom umeifungia / limit access mitandao ya Twitter, Facebook, Instagram and Messenger. Ikumbukwe Turkey ndio taifa linalooongoza kwa kuwa na watumiaji na utumiaji wa mtandao wa Twetter.

turkittblock.jpg


turkitt.jpg


Ikumbukwe mapema leo Erdogan amenukuliwa akisema "Uthubutu ni jadi yetu na sihitaji kuonesha namna gani nilivyo, lakini subiri"
 
Angalia hizo akili zake, baada akatoa wanajeshi wake ili Syria iwe na Amani anaenda kusafirisha wakimbizi, huyu mzee anazeeka vibaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana! alichofanya alihitaji kupambana na waasi kusudi nchi iwe huru ianze kujengwa upya lakini Russia ndani ya siku tatu amemshambulia. Utaona alikuwa akipambania kuzua na kusitisha wahamiaji kuingia kwake

Baada ya sakata la hivi karibuni amewaelekeza sehemu ya kwenda.
 
Hapana! alichofanya alihitaji kupambana na waasi kusudi nchi iwe huru ianze kujengwa upya lakini Russia ndani ya siku tatu amemshambulia. Utaona alikuwa akipambania kuzua na kusitisha wahamiaji kuingia kwake

Baada ya sakata la hivi karibuni amewaelekeza sehemu ya kwenda.
Hivi unafikiri hao wahamiaji wataenda Russia?
 
Ameona EU hawasomeki akatafuta fursa ya kuwa blackmail hahaha... Urafiki wa mashaka, unaomba msaada na bunduki kwenye kichwa cha mwenzio
 
Angalia hizo akili zake, baada akatoa wanajeshi wake ili Syria iwe na Amani anaenda kusafirisha wakimbizi, huyu mzee anazeeka vibaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni kwamba hujui kisheria mkimbizi ana haki ya kuishi popote duniani na kupewa haki zote
Turkey ilitumika kama kizuizi huku ikiachwa iteseke peke yake,kwa kuwa wakimbizi wanapita,acha ifungue mageti tu.Hiyo ni vita ya kiuchumi kamanda
 
Entreprenuare Hayaaa kaka milango ya kuingia ulayaa ishafunguliwa hukuu 😂😂😂, wahi mapema.
Tatizo ni kwamba hujui kisheria mkimbizi ana haki ya kuishi popote duniani na kupewa haki zote
Turkey ilitumika kama kizuizi huku ikiachwa iteseke peke yake,kwa kuwa wakimbizi wanapita,acha ifungue mageti tu.Hiyo ni vita ya kiuchumi kamanda
Turkey amestaajabisha! Kufikia wakati huu ameweka takribani magari 140 yanayosogeza watu. Lakini Erdogan amesema kuwa yeye ni part time kichaa.
 
Wanafiki ni hao makafiri wenye laana wanaopiga mabomb nchi zao.
Sasa wacha wavamiwe na vidume vya mbegu.
Wape miaka 20 Europe itajaa waarabu kila mtaa. Na ukafiri utapotea pole pole .

Well done Turkey.

.
Unadhani mwarabu ana akili kumzidi mzungu? Watapewa hewa ya sumu wafe wote.

Baada ya Mungu Ni Mzungu. Waarabu wJe waishi na sisi punguani wenzao wa kiafrika na sio Mzungu. Watakwisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom