Hakuna Mzungu atayekubali Turkey kuingia EU.France na Germany,big players the wont accept,maana kuingiza Turkey EU ,haitakuwa EU tena.
Serikali ya sasa ni Islamist learning,na jeshi la Uturuki linalinda constitution kuhakikisha kuwa Turkey ni secular state kama mwanzilishi wa Morden Turkey,Kamel Ataturk.alivyofanya.
Jeshi la Turkey halitaki nchi iwe design ya Pakistan,Saud Arabia etc,maana hapo kuchinjana kuataanza

Jeshi la uturuki ni moja ya vikwazo vikubwa vinavyoifanya nchi hii kushidwa kukubaliwa na shirikisho la Europe. Hongera kwa bwana Erdogan na Gul kwa kutunisha msuli. Tonya >> hapa
¬K
Hakuna Mzungu atayekubali Turkey kuingia EU.France na Germany,big players the wont accept,maana kuingiza Turkey EU ,haitakuwa EU tena.
Serikali ya sasa ni Islamist learning,na jeshi la Uturuki linalinda constitution kuhakikisha kuwa Turkey ni secular state kama mwanzilishi wa Morden Turkey,Kamel Ataturk.alivyofanya.
Jeshi la Turkey halitaki nchi iwe design ya Pakistan,Saud Arabia etc,maana hapo kuchinjana kuataanza
wamewakamata hao wakuu wa kijshi walistaafu kisha watawaachia Mahakama Nchi ya kituruki jeshi ndilo lenye Sauti kuliko hata hiyo Serikali,Serikali ya kituruki ni jina tu lakini jeshi ndilo lenye Sauti kuu kuliko hata hiyo Serikali ya Bwana Erdogan na huyu Erdogan akaiendelea hivyo kuwakamata wana Jeshi utasikia wamesha muuwa Mkuu wa jeshi ndio anayeogopewa kuliko hata huyo Waziri Mkuu Bwana Erdogan huijuwi historia ya Uturuki ndio maana unasema hivyo kusikiliza magazeti kazi yake ni kuchapisha habari za ukweli au Uongo mtupu. Hebu soma Waziri mkuu wao wa zamani jeshi lilivyomnyonga anaitwa bwana Adnan Menderes kupata habari zake bonyeza hapa http://en.wikipedia.org/wiki/Adnan_Menderes
As far as I'm concerned England is more Islamic than Turkey. Unajua kama wafanyakazi wa serikali ya Uturuki hawaruhusi kuvaa hijab?
Bongolander-tatizo sio watu wengi wanafikiri kuwa ulaya wakristo wengi kuliko waislam swala ni kwamba ulaya wengi hawaukubali Uislam na wanauangalia uislam kwa mtazamo tofauti sana hata kama hiyo nchi haija enea ukristo au hata kama haina dini lakini swala la Uislam kwao ni sumu...Kataa kubali Hakuna nchi ya Ulaya inataka kuwekwa chini ya Uislam,hakuna Mzungu Anaetaka kumnyenyekea muaarabu...kumfanya muisalm rafiki kutaleta usawa kitu amacho wazungu hawataki..they always want to be SUPERIOR.Mkuu naungana na wewe. Unajua tatizo watu wanadhani Ulaya is a christian entity, lakini ukiangalia kwa udani unaweza kushangaa kuwa there are more Christians in Tanzania than all of Europe. Am sure tuna wakristo wengi Tanzania kuliko Uingereza kwa kuwa majority ya waingereza ni realists japo wana background ya ukristo, na sio wabaguzi dhidi ya waislamu.
The fact kuwa magaidi wamehijack uislam does not make wasiamu wote magaidi na watu wasiotakiwa. Mbona Bush mlokole lakini ameua kuliko Saddam na Osama? Did religion have anything to do with their crime?
Swala sio kujitenga Kutoka Asia,,Uturuki ni nchi Ya Ulaya,,hata ukitaja idadi ya nchi za Ulaya Uturuki ni ULAYA..Swala ni kwamba hawataki kumuweka katika jumuiya ya Ulaya kwani akiwa member wa jumuiya atakuwa anahusika na mipango mbali mbali inayohusu bara la Ulaya..lakini Tatizo Uturuki sio kama Nchi nyingi za Ulaya kwa kuwa ina Idadi ya Waislam wengi kuliko Wakristo hilo Ndo tatizo Pape tusifichane kabisa.wanataka kujitenga kutoka Asia?
Hakuna Mzungu atayekubali Turkey kuingia EU.France na Germany,big players the wont accept,maana kuingiza Turkey EU ,haitakuwa EU tena.
Serikali ya sasa ni Islamist learning,na jeshi la Uturuki linalinda constitution kuhakikisha kuwa Turkey ni secular state kama mwanzilishi wa Morden Turkey,Kamel Ataturk.alivyofanya.
Jeshi la Turkey halitaki nchi iwe design ya Pakistan,Saud Arabia etc,maana hapo kuchinjana kuataanza
Kuli ,facts ndio hizo,Wazungu wameshashtukia trend ya Islamisation ya Europe.May be paranoia au vipi,kuanzia saga kama Minaret Uswiss,Denmark na Cartoon,Kuuliwa kwa populist Dutch MP miaka iliyopita,na kadhalika.
You are right about England,sasa England inapay the price,maana terror plot kubwa zinafanywa Uingereza ,baada ya watu kurudi mapangoni huko Afghnistan.hata jiji la London nicknamed LONDINISTAN.
Wazungu wanajiuliza ukiruhusu Turkey,itakuwa ni 2 largest state after Germany in terms of population.na hawa ni poor in EU standard.
Kuli unaweza kuspin unavyotaka,lakini many EU population hawataki Turkey kuwa in EU.
Simple as that