Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,120
- 27,925
Ndivyo ilivyo yaani huru kupita kiasi wanaishi wanavyotaka bila kuvunja sheria na maisha yanaendelea, lakini huko kwao kama vifungo vya nje unatembea unashituka shituka kama unang'atwa na siafu kiunoniKabisa,kwao kama watumwa lakini ulaya kama peponi kwao, hakuna masharti kama kwao