Uturuki na Irani hawaoni ndugu zao wanavyouawa Palestina, kwanini hawaingilii?

Kila nikiangalia video kinachoendelea hapo Gaza nashangaa sana, Waarabu wako kimya kama hawaoni. Afu Waafrika na unafiki wa kulaani kwenye media, inasaidia nini sasa?

Hakuna mzozo utakaotikea Mashariki ya Kati uache kusikia Uturuki inaunga mkono upande fulani na kusaidia silaa tena umguse Mwislamu Uturuki haiwezi kunyamaza.

Azerbaijan imeishinda Armenia kwenye jimbo la Nagorno kwa msaada wa Kijeshi kutoka Uturuki

Iran iko vizuri sana kiuchumi na Kijeshi, imetoa misaada mingi sana kwa makundi kama Hezbollah.

Uislamu ni udugu, Wapalestina ni Waislam, kwanini hawatoi msaada kwa ndugu zao Palestina? Ina mana Israel inaogopeka kiasi hicho? Kinchi kidogo kiasi hicho hata Mkoa wa Kilimanjaro mkubwa?

Waarabu ni muda wa kujitambua sasa.
Wapalestina ndio walioanza kuwachokoza wenzao kila nchi ina jukumu la kujikinga na kujibu shambulio lolote la kivamizi
 
Uturuki ni mwanachama wa NATO (au hulifahamu hilo?) ,Haiwezekani Uturuki ipigane na Israel wakati Israel wako influenced na Marekani ,na Marekani ndiyo vinara wa NATO.
 
Hoja sio uchokozi,ni msaada toka kwa ndugu!
Wapalestina ndio walioanza kuwachokoza wenzao kila nchi ina jukumu la kujikinga na kujibu shambulio lolote la kivamizi
Wewe ukikutana na mtu anampiga ndugu yako hutaamua na kumsaidia?
 
Leo ndio nimejua asee,sijawahi sikia wakimbizi wa Syria wakimbilia Qatar au wakimbizi wa Palestina wakimbilia Misri au Saudia... sidhani kama kuna kambi za wakimbizi pia. Jiulie pia kwanini Walibya badala ya kuvukia Misri wanakubali kufia bahatini kwenda Ulaya?

Wakimbizi wengi wa kiarabu wanakimbilia Ujerumani na Ugiriki pamoja na Uturuki kuwa karibu lakini wanaenda mbali dah!!🤔🤔

Naamini hata Afrika tuna nafuu kwa huruma na ujirani kuliko waarabu
Tatizo wsmengangania social systerm za medieval period zilizopitwa na wakati kwa kujidanganya eti kupitia kitabu hicho ukikifuata kinajibu kila kitu na kina ji adjust kutokana na wakati na hakipitwi na wakati kitu ambacho ni uongo na sasa wanazuia mafuriko kwa mikono

Kuna watu wanakimbilia uhuru wa mtu bila kulazimishwa na masheria ya kizamani ujio wa internet umewavumbua macho watu wengi kuona nchi nyingine wanavyoishi kwa uhuru amani na furaha na kufuta zile propaganda walizolishwa udogoni kwenye shule za dini

Wanawake nao wanakimbia utumwa na mfumo dume wa kuonekana wao ni second class human kwamba wao ni wa kufungiwa ndani tuu, hawatakiwi kutoa maoni yao mbele ya wanaume , hawatakiwi hata kuendesha gari mbali na kuchaguliwa nafasi yoyote ya uongizi wa kidini au kiserikali
 
Kila nikiangalia video kinachoendelea hapo Gaza nashangaa sana, Waarabu wako kimya kama hawaoni. Afu Waafrika na unafiki wa kulaani kwenye media, inasaidia nini sasa?

Hakuna mzozo utakaotikea Mashariki ya Kati uache kusikia Uturuki inaunga mkono upande fulani na kusaidia silaa tena umguse Mwislamu Uturuki haiwezi kunyamaza.

Azerbaijan imeishinda Armenia kwenye jimbo la Nagorno kwa msaada wa Kijeshi kutoka Uturuki

Iran iko vizuri sana kiuchumi na Kijeshi, imetoa misaada mingi sana kwa makundi kama Hezbollah.

Uislamu ni udugu, Wapalestina ni Waislam, kwanini hawatoi msaada kwa ndugu zao Palestina? Ina mana Israel inaogopeka kiasi hicho? Kinchi kidogo kiasi hicho hata Mkoa wa Kilimanjaro mkubwa?

Waarabu ni muda wa kujitambua sasa.
Unafikiria hawajui matokeo
 
internet umewavumbua macho watu wengi kuona nchi nyingine wanavyoishi kwa uhuru amani na furaha na kufuta zile propaganda walizolishwa udogoni kwenye shule za
Kweli kabisa...naona wengi sana wanakimbilia ulaya na Marekani na wakifika wanabadilika kabisa
 
Iran na Turkey wao hawawezi pigana na Israel sababu watawaonea wao size yao ni USA. We jiulize ikiwa Hamas inawasumbua vile na ni kipande walicho kizunguka iwe Iran na Turkey.

Israel hauwezi mziki wa Iran na Turkey hata siku moja.
 
Iran accuses Israel, promises revenge for killing of top nuclear scientis​

Hivi kwani palestina hakuna wakristo na dini nyingine ndo maana nyerere aliligundua hili kukaa sehemu moja watu dini moja ,kabila moja taifa moja bila kuchangamana na watu wa sampli nyingine ni shida sana ndo haya na huko palestina
 
Iran na Turkey wao hawawezi pigana na Israel sababu watawaonea wao size yao ni USA. We jiulize ikiwa Hamas inawasumbua vile na ni kipande walicho kizunguka iwe Iran na Turkey.

Israel hauwezi mziki wa Iran na Turkey hata siku moja.
Serious!!!?🤔
 
Mkuu hivi unafahamu kwamba Israel kuna asilimia 14 ya Muslims na asilimia 2 Christians?

Hebu kwanza jifunze kutumia Wikipedia na Google kabla ya kuja na mada zilizoegemea upofu wa kidini.
 
Mkuu hivi ufahamu kwamba Israel kuna asilimia 14 ya Muslims na asilimia 2 Christians?

Hebu kwanza jifunze kutumia Wikipedia na Google kabla ya kuja na mada zilizoegemea upofu wa kidini.
Unaniambia ww au
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom