Uturuki kulipiza kisasi kwa Syria baada ya kuua wanajeshi wake

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,480
9,241
6031aac2b710b0b16e667a9c2a425d63

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ameionya serikali ya Syria kwamba italipa gharama kubwa kutokana na mashambulizi yake dhidi ya majeshi ya Uturuki katika eneo la kaskazini mashariki mwa Syria.

Wanajeshi watano wa Uturuki waliuawa katika mji wa Idlib unaodhibitiwa na upinzani siku ya Jumatatu wiki hii wakati majeshi ya Syria yakiendelea kusonga mbele katika eneo la mapigano.

Wanajeshi wa Uturuki walifyatua makombora kadhaa ili kujibu mashambulizi hayo, lakini Rais Erdogan amesema wataendelea na mashambulizi ya kujihami.
 
Dah mnapoambiwa mkiilaani Israel mtaalaaniwa. Mkiibariki mtabarikiwa. Wote hao wawili Turkey na Syria maadui wakubwa wa taifa la Mungu wa kweli. Shauri zao. MBS mjanja ona anavyozidi kubarikiwa
 
Dah mnapoambiwa mkiilaani Israel mtaalaaniwa. Mkiibariki mtabarikiwa. Wote hao wawili Turkey na Syria maadui wakubwa wa taifa la Mungu wa kweli. Shauri zao. MBS mjanja ona anavyozidi kubarikiwa
Israel inayosemekana ni taifa la Mungu ni hii ya Mashariki ya kati ama ni ya kufikirika? Mungu alimwambia nani,wapi na lini?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom