Utupaji wa Condoms ovyo ovyo... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utupaji wa Condoms ovyo ovyo...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by FirstLady1, Nov 11, 2009.

 1. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Jamani kama mlishaitoa naomba nirudie tu nakereheka sana pale mtu unapopita mtaani na kukutana na Condoms zilizotumika zimetapakaa ovyo ovyo hivi watumiaji huwa wanazitumia vichochoroni na kuamua kuzitupa ovyo...au inakuwaje
  Mbaya zaidi naogopa ni pale watoto wetu watakapoziokota na kutumia kama maputo gosh can't imagine dis
  tumechoshwa jamani waungwana ...
  mie nakereheka sana
   
 2. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2009
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,642
  Likes Received: 2,877
  Trophy Points: 280
  Sasa asingetumia ungepata ujauzito.
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  ni hivi nakereheaka na watumiaji wasiojua nini maana ya usalama Gabu ukoje au na wewe ni mmoja wao??
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Hili swala iwa linakera sana unakuta watoto wanaokota na kuanza kuchezea kupuliza kama putu kama hawa jamaa walio toka kumegana wana vidot com si ni hatari kwa watoto nao kuambukizwa hivi hivi?
   
 5. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Pita barabara ya Tunisia kama unaelekea leaders club utajua ukubwa wa tatizo hili. Hivi kwa ushauri tu FL1 wewe unadhani zitupwe wapi?
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Burn kama wamefanyia vichakani kina dada wana pochi zao waweke ndani ya pochi kisha wakatupie sehemu zilizo safe zaidi
  na wanaume waliponunua walizihifadhi wapi? wanajua vizuri baada ya kutumia inafungwa vip kisha wanaweka kwenye pkt yake kisha wanaenda kutupa
  hebu wewe fikilia mtoto mdogo asiyeelewa apite aokote hiyo salama na uchafu wake ndani kisha aanze kupuliza kama puto ..kama mtumiaji alikuwa na ngoma kuna uwezekano mkubwa wa kumwambukiza mtoto huyo

  we unaonaje ??
   
 7. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2009
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Hivi huwa zinatumika wapi vile?
   
 8. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Acha utoto, umekuwa wewe
   
 9. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0

  Asante ndugu yangu maana swala hapa ni je nani ana wajibu huu? Kama ni za kike basi wanawake ..kama za kiume basi wanaume wawajibike.
  Kinachotokea hapa utakuta wahusika wote hawana akili..... matumizi yao yalikuwa kwenye mazingira tatanishi -vichochoroni.Mwanaume atabeba vipi aende nayo nyumbani kutupa? Ndio hapa anaichomoa na kuirusha porini au barabarani.
  Nijuavyo malezi ya kiafrika yalikuwa katika mfumo wa kuhifadhi hasa kile kitokanacho na usiri wa mwanamke na mwanaume.Siku hizi haya hayapo.Unakuta siyo condom tu bali hata sanitary pads hutupwa ovyo ovyo - hakuna tena soni.Zamani ungeambiwa ukitupa ovyo ovyo basi unaweza kulogwa usizae tena! Ni mwanamke gani angesema ngoja nione? Kila mtu alikuwa anajistahi.
   
 10. N

  Nzinyangwa Member

  #10
  Nov 11, 2009
  Joined: Aug 27, 2008
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dawa ni kuacha ufuska tu


  "Ukipenda boga penda na ua lake"
   
 11. N

  Nzinyangwa Member

  #11
  Nov 11, 2009
  Joined: Aug 27, 2008
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HTML:
  [HTML]
  [/HTML]

  Dawa ni kuacha Zinaa tu kwani hiyo ni tabia ya ufuska uliokomaa mtua anakuwa hajali tena hata babarabarani anaweza kufanya KITENDO hicho alimradi kuwe na giza kidogo tu!
  __________________________________________________

  Mkumbuke kwamba: "GIZA ni mfalme wa Maovu"
   
 12. K

  Kabogo Member

  #12
  Nov 11, 2009
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kila kitu na sehemu yake, tatizo ni kufanya ngono vichakani sizan kama ukifanya sehemu kama gest yote haya yatatokea.Cha muhimu tuwe wastarabu ukishafanya bas weka kwenye rambo ndogo tafuta sehemu ndo uitupe
   
Loading...