Utunzaji wa ngozi na kuonekana yenye afya nzuri na yenye kupendeza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utunzaji wa ngozi na kuonekana yenye afya nzuri na yenye kupendeza

Discussion in 'JF Doctor' started by amigooo, Oct 5, 2012.

 1. a

  amigooo Senior Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tatizo la ngozi linasumbua sana jamii ya walio wengi kwa rika zote na jinsia zote. Tatizo hili limekuwa likidhibitiwa kwa njia tofauti kwa kila mmoja kulingana na ajuavyo au apewavyo maelekezo na mwingine. Ni muhimu sana kuchukua hatua sahihi za kudhibiti tatizo litokeapo. Wengi huchukua hatua ya kudhibiti tatizo na pengine hawafanikiwi kutokana na kutumia products zisizo sahihi na zenye madhara ambayo huwa hatuyafahmu. Hapa nakuonesha kuwa kuna products zisizo na kemikali na zenye kukupa afya njema ya ngozi. Zimeandaliwa kiasilia na hazina madhara kwenye ngozi. Mfano wa bidhaa hizo ni kama cream, lotion,scrub n.k. Zipo za aina tofauti kuendana na ngozi kama vile yenye mafuta na isiyo na mafuta n.k.

  Mfano scrub huwezesha kuondolewa taratibu seli zilizokwisha muda wake kwa urahisi, huondoa uchafu unaoziba vitundu vya ngozi na kuwezesha ngozi kupumua vizuri kwani vitundu vinakuwa wazi na kufanya ngozi iwe laini na nyororo. Pia aina nyinginehusaidia kuihuisha ngozi na kuifanya iwe na muonekano mzuri wakati mwili umepumzika na husaidia kuzuia unyevu usipotee kwenye ngozi. Huondoa mistari midogomidogo na mikunjo kwenye uso.
  Ni bidhaa nzuri sana kwa wale wanaojali ngozi zao na kutaka kuonekana vijana

  Mfano lotion zipo za aina tofauti pia watengezaji wa nywele wanaweza kutumia kupaka chini kwenye ngozi kabla ya kutia nywele dawa, rangi au kusuka ili kukinga ngozi.
  Inaweza kupakwa kwenyengozi kabla ya kufanya kipimo cha mionzi(ultrasonic treatment) ili kukinga athari za mionzi.
  Vilevile huondoa miwasho, vimbe, maumivu, vidonda na majeraha makubwa ya (ngozi, misuli na viungo) pia ni bidhaa nzuri kwa chunusi,fungus za sehemu za siri, mikononi na miguu.

  Zifurahie hizo products kwa manufaa ya afya yako na mwenzako pia
  Garama zake ni nafuu sana kuendana na thamani yake katika afya. Wekeza katika afya yako. Tuwasiliane upate ya kwako.
  Thanks & Regards
  Bernard
  healthwealthfirst@gmail.com
  0713889162


   

  Attached Files:

  • 13.jpg
   13.jpg
   File size:
   111.2 KB
   Views:
   113
  • 14.jpg
   14.jpg
   File size:
   89.4 KB
   Views:
   122
  • 15.jpg
   15.jpg
   File size:
   64.5 KB
   Views:
   92
  • 16.jpg
   16.jpg
   File size:
   64.9 KB
   Views:
   101
  • 17.jpg
   17.jpg
   File size:
   36.1 KB
   Views:
   101
  • 18.jpg
   18.jpg
   File size:
   19.7 KB
   Views:
   103
  • 19.jpg
   19.jpg
   File size:
   16.7 KB
   Views:
   93
  • 20.jpg
   20.jpg
   File size:
   17 KB
   Views:
   86
  • 21.jpg
   21.jpg
   File size:
   32.1 KB
   Views:
   90
Loading...