Utundu wa Tek No Hama

strong ruler

JF-Expert Member
Nov 2, 2013
4,921
3,299
Najua huwezi Kuamini kuwa haka ni kajisimu nkangu Aina ya Samsung galaxy duos S7562 ambaka kwa sasa nimekaweka kwenye Muonekano wa Iphone/ios7 nafurahia sana muonekano wake...
 
Attachments

  • 1385886145215.jpg
    1385886145215.jpg
    72.5 KB · Views: 148
Hiyo theme tu ndy ya kuanzishia thread?

Nadhani katumia launcher ya iphone. Hata akitaka tiles za windows phone itakuwa kama nokia lumia, by the way sio ishu kubwa kwa wengine lakini kuna watakaotaka kujua kafanyaje!
 
Najua huwezi Kuamini kuwa haka ni kajisimu nkangu Aina ya Samsung galaxy duos S7562 ambaka kwa sasa nimekaweka kwenye Muonekano wa Iphone/ios7 nafurahia sana muonekano wake...

Sasa kama unapenda muonekano wa iphone si ununuage iphone?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom