KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,189
- 17,157
Don't you see you are desperately yearning for recognition?I need none from anyone including you. I am just playing my part as much as I can. The deficit is for other to fill. Finito.
Don't you see you are desperately yearning for recognition?I need none from anyone including you. I am just playing my part as much as I can. The deficit is for other to fill. Finito.
Don't you see you are desperately yearning for recognition?
Jambo la muhimu ni wananchi kujitambua. Hata Mbowe na Chadema wangekuwa Ikulu wangesema NEC ni tume huru na CCM wangepinga!
You give yourself a name 'mama' fulani, then you turn around and act like a high school teenager!SpR
Spare me with your intellectual masturbation!
Pendekezo.Nimependa hoja ya mwandishi, nimesoma maoni chanya na maoni hasi kutoka kwa wachangiaji, na sasa hebu niongeze nguvu katika hoja zote kwa kutoa mchango ufuatao katika kiambatanisho:
About the 'Dislike'.SpR
Spare me with your intellectual masturbation!
Hata nami natia mashaka kama ni yeye ndiye mwandishi wa andiko hilo.Duh, Mama Amon Pongezi kwa uchambuzi, Ila mmmmh. Mama Amoni umeiva sana, ni Mama Amoni Kweli?
Pendekezo.
Ili haya yawezekane, kutahitajika kuwepo na mchakato wa kuahirisha/kusogeza mbele uchaguzi mkuu.
Kwa hiyo hili nalo litahitaji kufanyiwa kazi.
Ni maoni tu. Kwa sababu sioni jinsi haya yatakavyoweza kufanyika na kutimia katika wakati uliopo.
Argumentum ad hominen or not: you, Mama Amon, are one very arrogant individual. You think you are always right, and everybody else is wrong or worse of inferior intellect.Sawa
Argumentum ad hominen or not: you, Mama Amon, are one very arrogant individual. You think you are always right, and everybody else is wrong or worse of inferior intellect.
Bora io na sio tujazane kibao kisha waje waseme eti tunaunga juhudi mmmh hapana ctoenda kupiga kura sababu najua chadema kwa katiba hii haiwez kushinda hata waweke malaikaI'm afraid, the lime left is too little too late.
Kuhamasisha kususia uchaguzi ni kumsusia ngedere shamba la mahindi, utayavuna mabua!.
Akijitokeza mpiga kura mmoja tuu, akapiga kura ya ndio, mgombea huyo atakuwa ameshinda kwa asilimia 100%.
P.