bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,668
Mungu wangu si kuthibitishwa maabara, maana yeye ni mkuu zaidi ya hiyo sayansi uchwara ya dunia, hekima zake na fahamu zake ni kubwa mno kiasi cha kuwashinda waelevu na wenye ujuzi wa dunia hii ingawa zaeleweka kwa wajinga waliosapole na wanyenyekevu.
Sina namna ya kukuthibitishia si kwasababu siwezi, ila natilia shaka uwezo wako wa reasoning maana tangia udai Kuthibitishiwa uwepo wa Mungu.
Kosa lako kubwa ni pale unalo mfikiria Mungu km binadamu, unahisi yupo km binadamu, sasa kwa taarifa yako Mungu HAFIKIRI na HANA UTASHI km wako.

Thibitisha Mungu wako yupo kwa njia iliyo logically consistent na isiyoweza kuwa contradicted.