Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,272
- 105,471
Shetani ni hadithi ya upande wa pili wa Mungu, naye ni uongo tu. Hayupo.Na shetani yupo au hayupo?
Hawa characters wawili wa hadithi tunawasingizia tu.
Shetani ni hadithi ya upande wa pili wa Mungu, naye ni uongo tu. Hayupo.Na shetani yupo au hayupo?
Ni kwasababu ametungwa na watu kama ilivyo batman na harrypotter anabakia kua ni character wa kufikirika tu asiyeweza kuthibitishika nje ya hapoLabda nikuulize.
Wewe unasema hakuna Mungu ni kwa sababu tu hakuna uthibitisho?
Je,wewe una uhakika kuwa ni kweli hakuna Mungu na si vinginevyo?
Ulichokisema kipo hiviNa shetani yupo au hayupo?
Nimekuuliza wewe unasema hakuna Mungu kwa sababu hakuna uthibitisho?unasema habari za kuhusu Mungu zina contradictions,hata habari za Magufuli zaweza kuwa na contradictions.Licha ya kutokuwa na uthibitisho Mungu yupo.
Habari za kuwapo kwake zina contradiction.
Hapa unaambiwa Mungu anajua yote, mpaka yajayo.
Pale unaambiwa Mungu alivyoumba watu, akaona hajapendezewa na tabia zao, akakasirika na kutaka kughairi , akawapiga gharika.
Sasa huyo Mungu mjuzi wa yote mpaka anataka kughairi kwani hakujua hayo ambayo hakuyaoenda yatatokea?
Kila habari ya kuwepo na Mungu inapoletwa ukiichunguza unaikuta ina contradictions.
Kwa sababu Mungu hayupo.
Una uhakika hakuna Mungu?kama unao uhakika je,uhakika wako ni upi?Ni kwasababu ametungwa na watu kama ilivyo batman na harrypotter anabakia kua ni character wa kufikirika tu asiyeweza kuthibitishika nje ya hapo
Hahaha"Mtu huna kazi, huna biashara wala wazo la biashara, huna ujuzi, huna elimu, lakini kila siku unashinda kanisani kumsikiliza Mchungaji anayesema kesho utakua milionea na wewe unasema "Baba napokea/Dady I receive". Huu ni utani"
Mkuu huo si utani, ni upuuzi kiwango cha lami ya ya mambele na siyo bongo.
Uhakika ni kwamba mungu hayupo ni stori tu zilizobuniwa na watu na ndio maana hathibitishiki kua yupo nje ya imaginations na personal experiencesUna uhakika hakuna Mungu?kama unao uhakika je,uhakika wako ni upi?
Habari gani za Magufuli zina contradiction?Nimekuuliza wewe unasema hakuna Mungu kwa sababu hakuna uthibitisho?unasema habari za kuhusu Mungu zina contradictions,hata habari za Magufuli zaweza kuwa na contradictions.
Nimekuuliza una uhakika kuwa hakuna Mungu?
Ujinga wenu ni pale mnapotumia uthibitisho kama kichanga,unakuta mtu hana hata uelewa kitu anachopinga ila anachojua ni kukimbilia kudai uthibitisho kwa sababu ni kichaka cha kuficha ujinga. Sasa suala uwepo wa Mungu ni imani sasa mtu anaposhikilia kusema hakuna Mungu ndiyo maana watu hawawezi kuthibitisha uwepo wake hapo ndipo unapoona ujinga watu na jinsi gani uthibitisho hutumika kujaribu kuficha huu ujinga.Kama kudai uthibitisho ni ujinga hivyo utakubali kila kitu unachoambiwa kua ni kweli kwasababu utakua mjinga kudai uthibitisho???
Swala la kudai uthibitisho sio ujinga inategemeana na kwa namna ulivyolitumia ukilitumia vibaya ku force likupe uthibitisho wa visivyopo kua havipo ni lazima ulione lakijinga
Swala la uthibitisho lingekua lakijinga basi hata benk zisingekuwepo, kwasababu watu wangeseza kuchukua mikopo ya mamilion ya pesa bila kuwepo na nyaraka zenye kuthibitisha mali anazomiliki kama dhamana
Ukishajua kuhusu inventions za watu hususani katika finctional characters, utagundua kuamini vitu hivyo kua viko real bila uthibitisho ni ujinga uliopitiliza
Nimesema hata habari za Magufuli zaweza kuwa na contradictions,sasa ajabu wewe unayedai hakuna Mungu unaleta hoja za kuwa habari za Mungu zina contradictions sijui unataka ueleweke vp kwa kusema hivyo?Habari gani za Magufuli zina contradiction?
Contradiction gani?
Magufuli ni Mungu kwako?
Hujaeleza huo uhakika wako kuwa kweli hakuna Mungu ni upi? Hata mimi naweza kusema habari za Allien ni story tu za kutunga ila hapo nimesema tu,sasa mimi nataka huo uhakika uliyonao ni upi?Uhakika ni kwamba mungu hayupo ni stori tu zilizobuniwa na watu na ndio maana hathibitishiki kua yupo nje ya imaginations na personal experiences
Unaweza kuthibitisha mungu yupo ili kupinga uhakika wa kutokuwepo kwake niliokupa???
Kama sitakuudhi, naomba summary, imenitia uvivu kusoma ni ndefu kusema kweli
Sitaki kuamini, nataka kujua.
Hujajibu maswali yangu. Magufuli kwako ni Mungu useme kwamba habari za Magufuli zikiwa na contradictions ni sawa na habari za Mungu zikawa na contradictions?Nimesema hata habari za Magufuli zaweza kuwa na contradictions,sasa ajabu wewe unayedai hakuna Mungu unaleta hoja za kuwa habari za Mungu zina contradictions sijui unataka ueleweke vp kwa kusema hivyo?
Ni kweli mkuu, lakini biblia inasema tusiache kukutanika pamoja na hata ukiangalia baada ya Yesu kupaa akina Paulo walikua wanakutanika pamoja maana pale mnashare karama na vipawa lkn pia unatakiwa kuwa na kuhani yaan mchungaji wako wa kkuongoza.Ndio maana mimi niliamua kuacha kwenda kanisani kwa ajili ya mambo kama. Haya niliona sisi washirika ndo mitaji ya wachungaji mitume na manabii.. Kanisa ni mimi mwenyewe hekalu ni roho yangu na. Mwili wangu baaada ya Yesu kunifia msalabani aliondoa kiambaza au ukuta uliokuwepo umezuia Mawasiliano yangu na Mungu ila now najiachia mimi mwenyewe kwa Mungu wangu alieniumba moja kwa moja na ananisikia vizuri sio kuibiwa na kutapeliwa na hawa wahuni wajanja wanajiitwa watumishi wa Mungu.
ndefu lkn inaleta hamu ya kuendelea kuisomaNdefu mno
mashehe uchwara wenye tamaa ya maisha mazuri wanawapiga sana hela watu wasio na imani thabiti mkuu,tena kwenye uislam hadi wanaingiza na ushirikina wakati wanafanya mabo yao hao baadhi ya mashehe uchwara,,ninaongea hapa ni muumini mzuri wa uislam na ninajua wayafanyao baadhi ya mashekhe ila wengine wanamwogopa Allah na hawapendi mambo hayo,Ni funzo zuri sana
wala hajaandika kishabiki,,,,,huo ndio ukweli kabisa
Chaajabu hata baadhi ya waislam wameanza mambo haya hasa kwa mbinu za nyota zilizo ibwa sijui....
all in all huu ni wizi wa wazi
Hujaeleza huo uhakika wako kuwa kweli hakuna Mungu ni upi? Hata mimi naweza kusema habari za Allien ni story tu za kutunga ila hapo nimesema tu,sasa mimi nataka huo uhakika uliyonao ni upi?