Utumwa hospitali ya Aga Khan - sheria ya kazi yasemaje ?

hapo lazima kuna contract kati ya muuajiri na muajiriwa na maafikiano ya hayo malipo hakuna aliye lazimishwa, suala la kufanya overtime au jumapili nalo lina makubaliano pia, kwa hiyo kama full package ni 300,000= basi inclusive basic wage, overtime pamoja na weekend.it is just a normal salary but not reasonable for a doctor.
 
Back
Top Bottom